-
Bunge la Iran lapinga kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua
Apr 04, 2021 07:31Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepinga pendekezo la kuondolewa vikwazo taifa hili hatua kwa hatua.
-
Iran: Hakuna mazungumo yanayohitajika kwa Marekani kurejea katika JCPOA
Mar 11, 2021 23:11Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema mpango wa Marekani wa kutaka kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hauhitaji mazungumzo yoyote kwani Washington haikufanya mazungumzo wala mashauriano na yeyote wakati wa kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa.
-
Araqchi: JCPOA haina maana yoyote iwapo vikwazo dhidi ya Iran havitaondolewa
Feb 13, 2021 05:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA hayatakuwa na maana wala thamani yoyote iwapo vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu havitaondolewa.
-
Russia yatishia kukata uhusiano na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo vipya
Feb 12, 2021 08:15Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa nchi hiyo iko tayari kukata uhusiano wake na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo zaidi vinavyotishia uchumi wake kutokana na mizozo inayoendelea baina ya pande hizo mbili baada ya kufungwa jela mpinzani wa serikali ya Moscow, Alexei Navalny na ukandamiza wa maandamano yaliyoanzishwa na waungaji mkono wake.
-
Marekani yaliwekea vikwazo shirika la Iran linalounda chanjo ya corona
Jan 14, 2021 09:36Marekani imekithirisha uhasama wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuliwekea vikwazo shirika la Iran ambalo liko katika mstari wa mbele kuunda chanjo ya corona au COVID-19.
-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa
Dec 27, 2020 20:51Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
-
Zarif: Vikwazo vya Washington vimewadhuru Wamarekani wenyewe
Dec 18, 2020 00:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera ya vikwazo ya Washington imekuwa na madhara makubwa hata kwa wananchi wa Marekani wenyewe na kampuni zao na hivyo kusababisha ukosefu wa ajira miongoni mwa Wamarekani.
-
Balozi wa Iran UN: Ukatili wa Marekani katika zama za COVID-19 utakumbukwa katika historia
Dec 07, 2020 03:36Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Iran inafahamu vyema namna ambavyo vikwazo vya Marekani vinaathiri uwezo wa nchi katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Kundi la G-77 na China zatoa wito wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran
Nov 14, 2020 06:16Baada ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 katika fremu ya siasa zake za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi, Marekani iliamua kutekeleza na kuzidisha vikwazo vikali dhidi ya Jamhuri ya Kiilamu ya Iran ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia.
-
Kundi la G77 na China zataka Iran iondolewe vikwazo mara moja
Nov 14, 2020 03:54Kundi la nchi 77 (G77) pamoja na China zimetaka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viondolewa haraka iwezekanavyo.