-
Russia yaitaka Marekani iache kujifanya 'polisi wa dunia'
Oct 20, 2020 04:29Russia imeikosoa vikali Marekani kwa kufuata tena mkondo ghalati wa kuzishinikiza nchi za dunia zifuate sera, matakwa na maagizo yake.
-
Spika: Nchi za Kiislamu zisifuate nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran
Oct 20, 2020 04:10Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali za nchi za Kiislamu zisikubali kufuata nyayo za Marekani za kuiwekea vikwazo Iran katika kipindi hiki cha janga la corona.
-
El-Baradei: Mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran yamefeli
Oct 13, 2020 04:18Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekosoa vikali sera ya mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, mashinikizo hayo yamegonga mwamba.
-
Khatibazadeh: Marekani inajua madai yake ya vikwazo dhidi ya Iran ni hewa
Sep 20, 2020 22:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema tangazo la Marekani kwamba vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran ambavyo vilikuwa vimeondolewa eti vimerejeshwa upya ni madai hewa, yasio na athari yoyote na yaliyo kinyume cha sheria.
-
Waziri wa Afya wa Iran asisitiza ulazima wa kukabiliana na vikwazo haramu vya Marekani
Sep 08, 2020 08:40Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran ametaka kutolewa wito wa kimataifa wa kuhitimishwa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na vya upande mmoja vya Marekani.
-
China yapinga kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jun 12, 2020 23:41Kwa mara nyingine tena China imepinga vikali njama za Marekani za kutaka kurefushwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran. Muda wa vikwazo hivyo unafikia tamati Oktoba mwaka huu wa 2020, kwa mujibu wa Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran yazitaka Marekani na EU ziiondolee Syria vikwazo
Jun 06, 2020 03:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka kuondolewa mara moja vikwazo haramu dhidi ya taifa la Syria vilivyowekwa na Marekani na Umoja wa Ulaya.
-
Rais Kagame ataka kuondolewa vikwazo Zimbabwe na Sudan
Jun 04, 2020 03:03Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa mwito wa kuondolewa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Zimbabwe na Sudan ili kuzisaidia nchi hizo katika vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
-
Zarif: Natumai ulimwengu wa Kiislamu utapata ushindi dhidi ya maadui
May 24, 2020 06:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake kuwa ulimwengu wa Kiislamu utaibuka na ushindi dhidi ya maadui.
-
Uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kupunguza vikwazo dhidi ya Syria, Libya na Yemen
Apr 05, 2020 02:58Kufuatia kuenea janga la corona kote duniani, na pamoja na kuwepo sisitizo la ushirikiano wa kimataifa katika kudhibiti na kupunguza kuenea corona, kuendelea vikwazo vya baadhi ya nchi, ikiwemo Marekani, ni chanzo cha kuvurugika vita dhidi ya corona. Vikwazo hivyo vimezuia nchi nyingi kupata bidhaa na vifaa vya kiafya vinavyohitajika kukabiliana na janga la corona.