-
Iran yamnyonga gaidi aliyekuwa akihudumia shirika la kijasusi la Israel, Mossad
Mar 04, 2024 13:14Iran imemnyonga gaidi wa aliyekuwa akitumikia shirika la kijasusi la utawala haramu wa Israel, Mossad ambaye alipanga kutega bomu katika karakana ya Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, katikati mwa Iran.
-
Radiamali hasi ya Madola ya Magharibi ya kunyongwa jasusi wa Uingereza nchini Iran
Jan 15, 2023 11:43Kunyongwa Ali Reza Akbari, jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6 kumekabiliwa na matamshi ya pupa na radiamali tofauti na hasi za madola ya Magharibi. Radiamali hizo zinaonyesha kupata pigo kubwa mipango ya kijasusi ya Magharibi dhidi ya Iran.
-
Uingereza yahamakishwa na kunyongwa jasusi wake nchini Iran
Jan 15, 2023 02:24Waziri Mkuu wa Uingereza ameshindwa kuzuia na kuficha hamaki zake baada ya jasusi wa nchi hiyo kutiwa mbaroni na kunyongwa nchini Iran na amedai kuwa kunyongwa jasusi huyo ni kitendo cha kikatili na cha woga.
-
Shirika la kutetea haki za binadamu laonya, Saudia inawanyonga wafungwa kwa sababu za kiitikadi
Dec 28, 2022 08:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad limetangaza kuwa limepokea taarifa zinazoonyesha nia ya Saudi Arabia ya kutekeleza hukumu za kifo kwa idadi ya wafungwa wa itikadi na wanajeshi.
-
Wanachama wa mtandao wenye uhusiano na Mossad wanyongwa nchini Iran
Dec 04, 2022 09:45Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran.
-
Umoja wa Mataifa: Video za kunyongwa wanajeshi wa Russia huko Ukraine ni za kweli
Nov 26, 2022 10:41Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kwamba kuna uwezekani mkubwa kwamba video za kunyongwa wanajeshi wa Russia waliotekwa nyara huko Ukraine ni za kweli.
-
Msururu wa hukumu za vifo na kunyonga watu kwa halaiki; rekodi ya jinai aliyojiwekea Bin Salman
Nov 07, 2022 09:10Shirika la Haki za Kibinadamu la Saudi Arabia lenye makao yake Ulaya limefichua kuwa viongozi wa utawala wa Riyadh wametoa hukumu ya kifo kwa wafungwa 15 walioshtakiwa kwa masuala ya kiitikadi, na kwamba kwa kutolewa hukumu hizo, idadi ya watu walio hatarini kunyongwa nchini humo imefika 53, wanane miongoni mwao wakiwa ni vijana chipukizi na watoto wadogo.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu: Kuna udharura wa kukabiliana na uhalifu wa Saudia
Mar 17, 2022 08:53Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Mwamko wa Kiislamu Duniani amelaani jinai ya Saudi Arabia ya kuwanyonga watu 81 na ametoa wito wa kuwepo umoja wa Waislamu na Ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na vitendo hivyo visivyo vya kibinadamu.
-
Unyongaji wa umati; jinai maalumu ya ukoo wa Aal Saud
Mar 15, 2022 10:54Ikiwa ni katika kuendeleza jinai dhidi ya watu wa Saudi Arabia, utawala wa nchi hiyo umechukua hatua isiyo ya kawaida ya kunyonga kwa umati watu 81 katika siku moja.
-
Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa UN alaani mauaji makubwa ya wafungwa Saudi Arabia
Mar 15, 2022 08:16Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ametoa maoni yake kuhusu kunyongwa kwa watu 81 nchini Saudi Arabia.