Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kusimamisha vita

  • Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio

    Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio

    Sep 09, 2022 21:59

    Wakati mwaka wa nane wa vita vilivyoanzishwa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen ukiwa unaendelea kupita, Wayemen wanazidi kuongeza nguvu na uwezo wao wa kijeshi wa kumzuia adui asithubutu kuanzisha mashambulio dhidi ya nchi hiyo.

  • Tahadhari kuhusu uwezekano wa kusambaratika usitishaji vita nchini Yemen

    Tahadhari kuhusu uwezekano wa kusambaratika usitishaji vita nchini Yemen

    Jul 10, 2022 22:04

    Mahdi al-Mashat, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuanzishwa tena operesheni za kijeshi, akiashiria ukiukaji vita wa mara kwa mara unaofanywa na muungano wa kijeshi wa Saudia.

  • Usitishaji vita; igizo la usanii inaofanya Saudia Yemen kwa kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa

    Usitishaji vita; igizo la usanii inaofanya Saudia Yemen kwa kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa

    May 09, 2022 21:58

    Awamu ya kwanza ya ubadilishanaji mateka kati ya Yemen na Saudi Arabia imefanyika katika hali ambayo Riyadh ingali inazuia kufunguliwa tena Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a.

  • Abdollahian: Iran inapinga vita vya Ukraine na eneo lolote duniani

    Abdollahian: Iran inapinga vita vya Ukraine na eneo lolote duniani

    May 08, 2022 21:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna wajibu wa kufanyika mazungumzo ya kisiasa baina ya Ukraine na Russia kwa ajili ya kukomesha haraka vita huko Ukraine kwani vita si kwa manufaa ya upande wowote.

  • Jibu kali la Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen kwa mawaziri wenzake wa Marekani na Uingereza

    Jibu kali la Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen kwa mawaziri wenzake wa Marekani na Uingereza

    Sep 07, 2021 06:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amezitaka Marekani na Uingereza kutoa mchango chanya na kutoegemea upande wowote katika juhud za kurejesha amani huko Yemen.

  • Magaidi wajisalimisha kwa jeshi la Syria katika eneo la Dar'a

    Magaidi wajisalimisha kwa jeshi la Syria katika eneo la Dar'a

    Sep 01, 2021 22:29

    Duru za habari zimetangaza kuwa, kundi la watu wenye silaha la eneo la Dar'a wa kusini mwa Syria limejisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo na Kiarabu na kukabidhi silaha zao.

  • Hatimaye vita vyasitishwa Gaza baada ya Israel kukubali mpango wa kusitisha vita

    Hatimaye vita vyasitishwa Gaza baada ya Israel kukubali mpango wa kusitisha vita

    May 20, 2021 23:24

    Baada ya siku 11 za hujuma na mashambulio ya kijeshi ya utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel hatimaye utawala huo umeafiki mpango wa kusitisha vita.

  • Kutia saini pande hasimu nchini Libya makubaliano ya usitishaji vita

    Kutia saini pande hasimu nchini Libya makubaliano ya usitishaji vita

    Oct 24, 2020 02:46

    Hatimaye baada ya mazungumzo marefu na tata pande hasimu nchini Libya zimetiliana saini makubaliano ya usitishaji vita.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatangaza kusitisha vita

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatangaza kusitisha vita

    Aug 22, 2020 19:31

    Wakati pande mbalimbali zikiendelea kulumbana juu ya namna ya kugawana keki ya Libya na kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo, Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa yenye makao yake mjini Tripoli imetoa amri ya kusitishwa vita mara moja na kusimamishwa operesheni zote za kijeshi.

  • Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yakataa usitishaji vita wa Khalifa Haftar

    Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yakataa usitishaji vita wa Khalifa Haftar

    May 01, 2020 03:38

    Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imekataa usitishaji vita wa upande mmoja wa jenerali muasi Khalifa Haftar anayewaongoza wanamgambo wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS