-
Larijani: Marekani inatekeleza ugaidi wa kiuchumi
Apr 07, 2019 23:37Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amesema: "Kwa vikwazo vyake vya kiuchumi dhidi ya serikali na taifa la Iran, Marekani inatekeleza ugaidi wa kiuchumi."
-
Spika wa Bunge la Iran alaani matamshi ya Trump kuhusu eneo la Golan linalokaliwa kwa mabavu
Mar 24, 2019 21:18Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amelaani matamshi ya kichochezi ya rais wa Marekani kwamba utawala wa Kizayuni wa Israel una mamlaka ya kulimiliki eneo la Golan la Syria unalolikalia kwa mabavu.
-
Iran na China, washirika wa kistratijia barani Asia
Feb 21, 2019 03:31Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge) na Rais wa China wamesisitiza udharura wa kupanuliwa zaidi ushirikiano wa kistratijia wa nchi hizo mbili.
-
Larijani: Uchaguzi Iran ni hazina muhimu ya demokrasia ya kidini
Feb 05, 2019 23:13Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameutaja uchaguzi hapa nchini kama hazina muhimu ya demokrasia ya kidini.
-
Kiongozi Muadhamu amteua Ayatullah Amoli Larijani kuwa Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran
Dec 31, 2018 03:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amemteua Ayatullah Amoli Larijani kuwa Mkuu mpya wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo na mjumbe wa jopo la mafakihi katika Baraza la Kulinda Katiba.
-
Larijani: Faili la Syria ni mfano mzuri kwa ajili ya kuyapatia ufumbuzi masuala ya Asia
Nov 29, 2018 10:36Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa ushirikiano wa Iran, Syria, Russia na Uturuki katika kutatua matatizo mbalimbali ya kieneo ni mfano mzuri kwa ajili ya kuzipatia ufumbuzi kadhia na matatizo mbalimbali ya kiuchumi na kisiasa ya bara la Asia.
-
Larijani: Trump ni mdogo sana, hawezi kuipigisha magoti Iran
Nov 04, 2018 04:40Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Rais Donald Trump wa Marekani ni 'mdogo sana' kuweza kufanikiwa kulipigisha magoti taifa la Iran.
-
Larijani: Matatizo ya dunia ni matokeo ya hatua za upande mmoja za Marekani
Oct 09, 2018 13:02Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo ya dunia ni matokeo ya hatua za upande mmoja za Marekani na amezitaka nchi zote ziungane kukabiliana na hatua za aina hiyo za uvukaji mipaka ya sheria na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja.
-
Iran yaitaka jamii ya kimataifa ishirikiane kupambana na sera za kibeberu za US
Oct 09, 2018 04:27Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezitaka nchi za dunia kuimarisha ushirikiano wao ili zifanikiwe kuzikabili sera za kibeberu na za kibabe za Marekani.
-
Dakta Larijani: Iran na Russia zina nafasi kubwa katika vita dhidi ya ugaidi Mashariki ya Kati
Sep 06, 2018 09:58Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Russia zimekuwa na nafasi muhimu mno katika uga wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.