-
Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa
May 25, 2018 02:34Spika wa Majilisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hayana mantiki na yanaonesha kuwa waziri huyo hana ukomavu wa kisiasa.
-
Spika Larijani ataka kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa Iran na Vietnam
Apr 17, 2018 03:31Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara wa Iran na Vietnam unapaswa kustawishwa kama ulivyo uhusiano wa kisiasa kati ya nchi mbili hizo.
-
Larijani: Iran na Pakistan zimesimama kidete kukabiliana na matatizo ya ugaidi kwa busara
Jan 16, 2018 01:05Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Pakistan zikitumia busara na werevu zimeweza kusimama kidete na kukabiliana vyema na matatizo mbalimbali yanayosababishwa na ugaidi.
-
Larijani: Iran daima ina hamu ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika
Jan 14, 2018 04:26Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Jamhuri ya Kiislamu ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika.
-
Larijani: Israel inafanya njama za kuzusha vurugu za kisiasa katika Mashariki ya Kati
Dec 18, 2017 10:44Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala dhalimu wa Israel unafanya njama za kuleta vurugu za kisiasa katika Mashariki ya Kati na kuongeza kuwa, endapo nchi za Kiislamu zitadumisha umoja na mshikamano zitazuia kufikiwa malengo hayo ya Wazayuni.
-
Larijani awasili Moscow kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Mihadarati
Dec 03, 2017 23:09Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewasili Moscow mji mkuu wa Russia akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Mihadarati utakaojadili suala la vita dhidi ya madawa ya kulevya.
-
Larijani: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima
Oct 16, 2017 08:34Spika wa majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, ugaidi ni hatari kubwa kwa usalama wa nchi zote duniani na mapambano dhidi ya uhalifu huo mkubwa yanahitajia ushirikiano wa nchi zote duniani.
-
Larijani: Marekani haiheshimu mapatano ya kimataifa
Oct 15, 2017 23:02Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani amesema Rais Donald Trump wa Marekani hajali mapatano ya kimataifa na wala haheshimu Umoja wa Mataifa na amezionyesha nchi zote kuwa nchi yake haiminiki.
-
Larijani: Upo ulazima wa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na nchi za Kiafrika
Oct 08, 2017 03:58Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa, Tehran ina uhusiano wa kirafiki na mzuri na nchi za Kiafrika hususan Mali, na siku zote imekuwa ikiunga mkono huru na kujitawala nchi za Kiafrika.
-
Spika Larijani: Wamarekani wanafanya uafiriti katika suala la nyuklia
Oct 06, 2017 20:43Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya chuki na njama za Wamarekani dhidi ya Iran kugonga mwamba baada ya ushindi wa mapinduzi ya Kiislamu, lakini hadi sasa wangali wanaendeleza hatua zao za chuki na wamekuwa wakifanya uafiriti katika kadhia ya nyuklia.