-
Waziri wa mambo ya nje wa Iran azungumza na wenzake wa Russia, Iraq na Syria
Oct 18, 2019 07:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Iraq, Russia na Syria ambapo wamejadili kuhusu matukio ya hivi karibuni katika eneo hasa hali ya mambo kaskazini mwa Syria.
-
Lavrov akaribisha ubunifu wa Iran kuhusu eneo la Ghuba ya Uajemi
Oct 03, 2019 04:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa wito wa kupewa mazingatio zaidi pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Russia: Marekani inakiuka azimio la UN kuhusu Syria
Dec 25, 2018 02:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Marekkani inaendelea kukiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kujitawala na uhuru wa Syria.
-
Jitihada za ulaya za kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Nov 29, 2018 03:05Mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA, ambayo yalifikiwa Julai mwaka 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 yalikuwa mapatano muhimu sana katika uga wa kulinda amani na usalama wa kimataifa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia: Lugha ya Vitisho Haitatui Matatizo ya Kimataifa
May 31, 2018 06:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema masuala ya nyuklia ya Iran, Korea Kaskazini na mgogoro wa Ukraine ni masuala ambayo hayawezi kutatuliwa kwa lugha ya vitisho.
-
Lavrov atoa onyo kali kwa nchi za Magharibi
Mar 28, 2018 06:50Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa Moscow haitanyamaza kimya mbele ya hatua ya nchi za Magharibi ya kuwafukuza wanadiplomasia wa nchi hiyo.
-
Korea Kusini: Russia isitutupe mkono katika juhudi za kufungua mahusiano na Korea Kaskazini
Mar 14, 2018 07:53Serikali ya Korea Kusini, kupitia Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Taifa wa nchi hiyo ameitaka Russia kuiunga mkono Seoul kwa ajili ya kupatikana mahusiano mema na viongozi wa Korea Kaskazini.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran na Russia wajadili masuala mbalimbali
Mar 02, 2018 03:17Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kujadili masuala mbalimbali ya uhusiano wa pande mbili, ya kieneo na kimataifa.
-
Russia yatoa indhari kuhusu matokeo yasiyotabirika endapo makubaliano ya nyuklia na Iran yatavunjika
Feb 08, 2018 03:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov ameonya kuwa kuvunjika makubaliano ya nyuklia na Iran kunaweza kuwa na matokeo yasiyoweza kutabirika.
-
Lavrov: Marekani inapasa kuondoka huko Syria
Dec 29, 2017 03:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana alisisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani wanapasa kuondoka huko Syria haraka iwezekanavyo baada ya kupata pigo magaidi nchini humo.