-
Iran yapongeza kuchaguliwa rais mpya nchini Lebanon, yasisitiza kustawishwa uhusiano
Jan 10, 2025 10:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempongeza Rais mpya wa Lebanon, Serikali na wananchi wake pamoja na mirengo na vyama vyote husika katika uga wa kisiasa wa nchi hiyo kwa kuchaguliwa rais mpya.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon: Lazima Israel iondoke kikamilifu kusini mwa Lebanon kabla ya Januari 26
Jan 08, 2025 03:30Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Miqati amesema Beirut imefikisha "salamu za wazi kabisa" kwa waangalizi wa kimataifa wa makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel kwamba utawala huo wa Kizayuni lazima uondoe kikamilifu vikosi vyake kusini mwa Lebanon kabla ya mwisho wa Januari.
-
Droni za Yemen zahepa mifumo ya utunguaji ya utawala wa Kizayuni, zapiga Tel Aviv na Ashkelon
Dec 14, 2024 06:27Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetangaza kuwa vimefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kulenga mji wa Jaffa karibu na Tel Aviv pamoja na mji wa Ashkelon katika eneo la kati la ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika operesheni mpya dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Lebanon: Israel imefanya uhalifu wa kivita wa kimazingira
Dec 14, 2024 02:28Waziri wa Mazingira wa Lebanon amesema kuwa Israel imeharibu ardhi na misitu ya kusini mwa hiyo kwa kutumia silaha zilizopigwa marufuku.
-
Sheikh Naim Qassim: Muqawama uko imara na umepata ushindi
Dec 06, 2024 03:51Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, muqawama ukitegemea nguvu na uwezo wa wapiganaji wake umepata ushindi katika vita dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Gazeti la Kiebrania: Utawala wa Kizayuni umepata hasara nyingi katika vita na Hizbullah
Nov 28, 2024 03:30Kufuatia kutangazwa usitishaji vita kusini mwa Lebanon, vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa vita hivyo vimeutia hasara nyingi na kuusababishia uharibifu mkubwa utawala huo wa Kizayuni.
-
61% ya Wazayuni: Netanyahu amegonga mwamba, Israel haijashinda vita dhidi ya Hizbullah
Nov 27, 2024 12:41Kwa mujibu wa uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel ndani ya jamii ya Wazayuni, asilimia 61 miongoni mwao wanaamini kuwa utawala huo haujapata ushindi katika vita dhidi ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani atoa mwito wa uchunguzi wa mauaji ya kimbari Gaza
Nov 18, 2024 02:35Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu "mauaji ya halaiki" ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Katika muda wa siku moja, jeshi la Kizayuni lafanya mashambulio 145 nchini Lebanon
Nov 17, 2024 12:41Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi 145 nchini Lebanon katika muda wa saa 24 zilizopita huku likishaidisha hujuma zake za kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu kinyume na wito wa kimataifa wa kuutaka utawala huo haramu usimamishe mashine yake ya mauaji katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Maporomoko ya udongo yaua watu 16 magharibi ya Madagascar
Nov 14, 2024 07:05Watu wapatao 16 wamefariki dunia wakati mashua waliyokuwa wakisafiria kupitia mtoni magharibi mwa Madagascar kukumbwa na maporomoko ya udongo. Hayo yameelezwa na mamlaka husika za nchi hiyo jana Jumatano.