Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria

    Iran yaonya baada ya Israel kutishia kushambulia ndege yake ya abiria

    Feb 15, 2025 03:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei ameukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutishia kushambulia ndege ya abiria ya Iran iliyokuwa imebeba raia wa Lebanon.

  • Bunge la Libya lalaani njama za Wazayuni za kuwahamisha watu wa Ghaza

    Bunge la Libya lalaani njama za Wazayuni za kuwahamisha watu wa Ghaza

    Feb 09, 2025 07:07

    Bunge la Libya limelaani na kupinga njama za Marekani na Israel za kutaka kuwahamisha wananchi wa Ghaza na kuwapeleka sehemu nyingine nje ya ardhi zao za jadi za Palestina.

  • Lebanon yaunda serikali ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili

    Lebanon yaunda serikali ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili

    Feb 09, 2025 03:39

    Lebanon imeunda serikali yake ya kwanza kamili tangu mwaka 2022, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajitahidi kujenga upya eneo lake la kusini lililoharibiwa na vita; na kuhakikisha usalama unarejea baada ya mapigano kati ya Israel na Harakati ya Muqawama ya Hizbullah.

  • Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon

    Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon

    Feb 08, 2025 04:33

    Rais wa Lebanon amesisitiza katika mazungumzo na Mjumbe wa Marekani kuwa amani itarejea kusini mwa Lebanon iwapo jeshi la utawala wa Kizayuni litaondoka katika eneo hilo.

  • Israel yashambulia Lebanon, yakiuka makubaliano ya usitishaji vita

    Israel yashambulia Lebanon, yakiuka makubaliano ya usitishaji vita

    Feb 07, 2025 04:22

    Jeshi la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya maeneo tofauti ya kusini na mashariki mwa Lebanon, huo ukiwa ni ukiukaji mkubwa na wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati yake na nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kiongozi Muadhamu amteua Naim Qassem kuwa mwakilishi wake Lebanon

    Kiongozi Muadhamu amteua Naim Qassem kuwa mwakilishi wake Lebanon

    Feb 05, 2025 08:59

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, katika dikrii, amemuarifisha Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawamaya ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem kama mwakilishi wake nchini Lebanon.

  • Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Jan 28, 2025 04:33

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.

  • Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon

    Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon

    Jan 27, 2025 09:51

    Akaunti rasmi ya mtandao wa kijamii wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imetuma ujumbe kufuatia kitendo cha kijasiri cha wananchi wa Lebanon kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • UNIFIL yasisitiza kuondoka Lebanon wanajeshi wa Israel

    UNIFIL yasisitiza kuondoka Lebanon wanajeshi wa Israel

    Jan 27, 2025 03:38

    Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon (UNIFIL) kimetaka kuondoka kikamilifu wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko kusini mwa Lebanon.

  • "Hatutajadili mamlaka ya Lebanon", asema Rais Aoun baada ya Israel kuua Walebanon 15

    Jan 26, 2025 22:55

    Rais wa Lebanon, Joseph Aoun amesema "mamalaka ya kujitawala Lebanon na ardhi yake ni jambo lisiloweza kujadiliwa". Amesema hayo baada ya vikosi vya Israel kuwafyatulia risasi na kuwaua Walebanon waliokuwa wamekimbia makazi yao kusini mwa Lebanon na waliokuwa wakirejea katika miji yao, huku muhula wa mwisho wa kuondoka askari hao makatili ukimalizikka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS