-
Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai
Nov 11, 2024 07:53Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesemam kuwa kukaa kimya mkabala wa jinai zinazotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai hizo.
-
Walebanon waandamana nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria
Nov 10, 2024 06:50Raia wa Lebanon wanaoishi nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni unaendeleza vita na mashambulizi ya kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Maafa ya mazingira yaikumba Lebanon kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel
Nov 08, 2024 07:31Kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon kumeitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro wa kimazingira na kiafya.
-
Sayyid Hashem Safiyyuddin, Mjenga Hamasa ya Muqawama Itakayodumu Milele
Nov 06, 2024 09:06SalamuLlahi Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Sayyid Hashem Safiyyuddin.
-
Watoto 50 ni kati ya watu 84 waliouawa katika 'mauaji ya halaiki ya kikatili' iliyofanya Israel Ghaza
Nov 02, 2024 07:20Wapalestina 84 wakiwemo watoto zaidi ya 50 wameuliwa shahidi katika mashambulizi mawili ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya majengo ya makazi ya raia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Wanajeshi 70 wa Israel waangamizwa katika shambulio la ardhini Lebanon
Oct 25, 2024 02:40Zaidi ya wanajeshi 70 wa Israel wameangamizwa na askari na maafisa zaidi ya 600 wamejeruhiwa katika shambulio la ardhini la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Lebanon.
-
Lebanon yawasilisha malalamiko mapya dhidi ya Israel kwa Baraza la Usalama
Oct 17, 2024 02:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imesema kuwa imewasilisha malalamiko yake mapya kwa Baraza la Usalama la UN kuhusu utawala wa Kizayuni.
-
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) awasili mjini Beirut, Lebanon
Oct 12, 2024 11:48Mohammad Bagher Ghalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ambaye yupo njiani kuelekea Geneva kushiriki Mkutano wa Kilele wa Mabunge ya Dunia, amewasili mjini Beirut kabla ya kuelekea Uswisi kwa ajili ya kuonana na kuzungumza na viongozi wa Lebanon na kutangaza uungaji mkono wake kwa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Iran: Tumejiweka tayari kikamilifu kulinda mamlaka ya utawala ya ardhi yetu
Oct 11, 2024 07:46Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiweka tayari kikamilifu kulinda mamlaka yake na umoja wa ardhi yake dhidi ya uvamizi na uchokozi wowote utakaoyalenga maslahi yake makuu na usalama wake.
-
Unicef: Watoto zaidi ya 100 wameuawa Lebanon katika siku 11
Oct 06, 2024 11:06Mfuko wa Kuwahudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza kuwa watoto zaidi ya 100 wameuawa huko Lebanon siku 11 zilizopita kufuatia hujuma na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel nchini humo.