Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Dunia yaendelea kumpinga Trump kuhusu miinuko ya Golan ya Syria

    Dunia yaendelea kumpinga Trump kuhusu miinuko ya Golan ya Syria

    Mar 26, 2019 10:03

    Viongozi mbalimbali wa dunia wameendelea kutoa radiamali kali ya kupinga tangazo la urasimishaji la Rais Donald Trump wa Marekani kwa miinuko ya Golan ya Syia kwamba ni milki ya utawala haramu wa Kizayuni Israel.

  • Hizbullah: Hatutorudi nyuma katika kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za Israel

    Hizbullah: Hatutorudi nyuma katika kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za Israel

    Mar 25, 2019 03:29

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kwamba muqawama huo hautoachana na majukumu ya kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za utawala katili wa Israel.

  • Spika wa Bunge la Lebanon: Eneo lote la Quds ni mji mkuu wa Palestina

    Spika wa Bunge la Lebanon: Eneo lote la Quds ni mji mkuu wa Palestina

    Mar 11, 2019 23:24

    Spika wa Bunge la Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza msimamo wa nchi yake kuhusiana na kuiunga mkono Baytul -Muqaddas na Palestina na kusema kuwa, eneo lote la Quds Tukufu ni mji mkuu wa nchi ya Palestina.

  • Marekani yakasirishwa na misimamo ya serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono Hizbullah

    Marekani yakasirishwa na misimamo ya serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono Hizbullah

    Mar 10, 2019 23:09

    Duru za kidiplomasia zimearifu kuwa Marekani imekasirishwa na hairidhishwi na misimamo ya viongozi wa serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono harakati ya muqawama ya nchi hiyo Hizbullah.

  • Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel

    Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel

    Jan 23, 2019 04:23

    Jeshi la Lebanon limemtia mbaroni ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) aliyehusika katika shambulizi la bomu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Jan 17, 2019 04:14

    Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la kulaani jinai za utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya ukandamizaji wa serikali ya Manama kwa raia wake.

  • Lebanon: Ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi wa Israel hatima yao ni moja

    Lebanon: Ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi wa Israel hatima yao ni moja

    Jan 08, 2019 11:18

    Mkuu wa Usalama wa Umma nchini Lebanon amesema, hakuna tofauti kati ya ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi utawala wa Kizayuni wa Israel, na akasisitiza kwamba ugaidi wa Israel, kama zilivyo aina nyingine za ugaidi, nao pia uko katika hali ya kutokomea.

  • Lebanon kuishtaki Israel Baraza la Usalama la UN

    Lebanon kuishtaki Israel Baraza la Usalama la UN

    Dec 27, 2018 03:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amemtaka mwakilishi wa kudumu wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa kuwasilisha mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Baraza la Usalama la umoja huo baada ya utawala huo kutumia anga ya Lebanon katika mashambulizi yake nchini Syria.

  • Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika

    Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika

    Nov 25, 2018 04:37

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni muhali na jambo lisiloyumkinika kuugawanya mara mbili mji mtukufu wa Quds (Jerusalem).

  • Lebanon yapinga matamshi ya kichochezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Lebanon yapinga matamshi ya kichochezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Nov 02, 2018 23:25

    Rais wa Lebanon amesema kuwa sababu ya kuundwa harakati ya Hizbullah nchini humo ni uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon. Michel Aoun amesma hayo akijibu matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Mataifa, Antonio Guterres aliyedai kuwa, Hizbullah inaielekeza Lebanon katika vita. Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa nchi hiyo haiwezi kusahau historia yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS