-
Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika
Nov 25, 2018 04:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni muhali na jambo lisiloyumkinika kuugawanya mara mbili mji mtukufu wa Quds (Jerusalem).
-
Lebanon yapinga matamshi ya kichochezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Nov 02, 2018 23:25Rais wa Lebanon amesema kuwa sababu ya kuundwa harakati ya Hizbullah nchini humo ni uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon. Michel Aoun amesma hayo akijibu matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Mataifa, Antonio Guterres aliyedai kuwa, Hizbullah inaielekeza Lebanon katika vita. Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa nchi hiyo haiwezi kusahau historia yake.
-
Spika wa Bunge Lebanon: Anga ya kuundwa serikali mpya nchini ni chanya sana
Oct 27, 2018 23:03Spika wa Bunge nchini Lebanon amesema kuwa, anga kwa ajili ya kuundwa serikali mpya ni chanya sana na yenye kutia matumaini.
-
Rais Aoun: Serikali ya Lebanon kuundwa katika kipindi kifupi kijacho
Oct 18, 2018 10:38Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema serikali mpya ya nchi hiyo itaundwa katika kipindi kifupi kijacho.
-
Vikwazo vya kongresi ya Marekani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 13, 2018 08:25Katika kuendelea jitihada za Marekani za kukabiliana na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon; kongresi ya nchi hiyo imepasisha mswada wa kuiwekea vikwazo vipya harakati hiyo.
-
Lebanon yasambaratisha njama ya Daesh ya kuweka sumu katika maji ya kunywa
Sep 28, 2018 04:26Vyombo vya usalama vya Lebanon vimetangaza habari ya kusambaratishwa njama ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ambalo lilitaka kuweka sumu ndani ya maji ya kunywa ya wanajeshi wa nchi hiyo.
-
Saudia inapanga njama ya kuvihamishia Lebanon vita ilivyoanzisha dhidi ya Yemen
Aug 27, 2018 03:16Gazeti la Al-Akhbar limefichua kuwa Saudi Arabia inapanga njama mpya ya kuvihamishia Lebanon vita ilivyoanzisha dhidi ya Yemen.
-
Maulamaa wa Lebanon watangaza mshikamamo wao kwa Iran mkabala na vikwazo vya Marekani
Aug 15, 2018 10:32Maulama wa kidini wa nchini Lebanon wamelaani mashinikizo na vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa wanaiunga mkono kikamilifu Tehran.
-
Hizbullah: Saudia inakwamisha kuundwa serikali mpya nchini Lebanon
Aug 05, 2018 20:50Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kitendo cha baadhi ya mirengo ya kisiasa inayochochewa na Saudi Arabia, cha kushikilia misimamo yao ya kupewa nafasi maalumu serikalini ndicho kinachokwamisha kuundwa serikali mpya nchini Lebanon.
-
Saudia inahusika katika kuchelewesha uundaji wa serikali mpya ya Lebanon
Jul 14, 2018 23:19Sheikh Nabil Qawooq mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria uingiliaji kati wa Saudi Arabia katika suala la kuunda serikali huko Lebanon na kusisitiza kuwa viongozi wa Saudia ndio kikwazo kikuu na wanatatiza zaidi hali ya ndani ya Lebanon.