-
Indhari ya Lebanon kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Nov 27, 2017 10:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon ameamwandikia barua Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) akimwambia kwamba, umoja huo unapaswa kufungamana na makubaliano ya Waarabu ambayo yalitofautisha baina ya muqawama na ugaidi.
-
Guterres atahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kuendelea kukiuka anga ya Lebanon
Nov 26, 2017 04:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka vitendo vya kukiuka anga ya Lebanon vinavyofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Lebanon na Syria katika mkondo wa kuimarisha uhusiano
Nov 25, 2017 02:38Saad Zakhia, balozi mpya wa Lebanon nchini Syria alionana na Rais Bashar al Assad siku ya Alkhamisi na kukabidhi hati zake za utambulisho.
-
Hariri arejea Lebanon, ombi lake la kujiuzulu lasimamishwa, akutana na Rais Aoun
Nov 22, 2017 23:56Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon amesimamisha kwa muda ombi lake la kutaka kujiuzulu wadhifa wake huo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Michel Aoun mjini Beirut.
-
Jeshi la Lebanon lawekwa katika hali ya tahadhari kutokana na chokochoko za Israel
Nov 21, 2017 23:34Mkuu wa Jeshi la Lebanon amewataka wanajeshi wa nchi hiyo kuwa katika hali ya tahadhari hususan katika maeneo ya mpaka wa kusini, ili kuzima chokochoko zozote zinazoweza kuanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Lebanon na makundi ya muqawama ya Palestina yapinga taarifa ya Arab League dhidi ya Hizbullah
Nov 20, 2017 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amelalamikia taarifa hewa na isiyo na msingi iliyotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) dhidi ya harakati ya muqawama ya nchi hiyo Hizbullah.
-
Hariri: Nitaeleza kwa upana matukio ya hivi karibuni baada ya kukutana na Rais Michel Aoun
Nov 19, 2017 00:25Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon ambaye kwa sasa yuko nchini Ufaransa akitokea Saudia, amesema kuwa, ataeleza kwa upana matukio ya hivi karibuni baada ya kukutana na Rais Michel Aoun mjini Bairut.
-
Kashani: Umoja wa Walebanon umebatilisha njama za Saudia
Nov 17, 2017 13:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa umoja na mshikamano wa taifa la Lebanon umebatilisha na kuzima njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na Saudi Arabia.
-
Saad Hariri: Nitarudi Lebanon
Nov 15, 2017 11:57Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon aliyejiuzulu amesema kuwa atarejea nchini humo kama alivyotamka hapo awali.
-
EU yamtaka Hariri arejee Lebanon, yaionya Saudia dhidi ya uingiliaji wa masuala ya nchi hiyo
Nov 14, 2017 03:46Umoja wa Ulaya umemtaka Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu hivi karibuni, Saad Hariri arejee katika nchi yake huku ukiitahadharisha Saudi Arabia dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.