-
Saudia yaichochea Israel iihujumu Lebanon, Hizbullah yasema iko tayari kijeshi
Nov 13, 2017 23:34Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kwa ajili ya makabiliano yoyote ya kijeshi huku kukiwa na tetesi kuwa Saudi Arabia inauchochea utawala wa Kizayuni wa Israel uishambulie Lebanon kijeshi.
-
Iran yasisitiza haingilii mambo ya ndani ya nchi nyingine
Nov 13, 2017 12:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Sera ya kimsingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutoingilia kamwe masuala ya ndani ya nchi nyingine."
-
Hariri ajidhalilisha Saudia, apanga foleni kumpa mkono Mfalme Salman
Nov 12, 2017 10:18Kanda ya video iliyorushwa hewani na televisheni ya utawala wa Aal-Saud imemuonyesha Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu hivi karibuni akijidhalilisha kwa kupanga foleni na maafisa wa serikali ya Riyadh kwa ajili ya kumpa mkono Mfalme Salman Bin AbdulAzizi wa Saudi Arabia.
-
Walebanon wachoma moto picha za Bin Salman Bairut, maulama wa Kisuni waituhumu Saudia
Nov 12, 2017 04:31Walebanon wamezichoma moto picha za Mohammad Bin Salman Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia na ambazo zilikuwa zimewekwa katika njia kuu ya Bairut mji mkuu wa Lebanon, kuelekea kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kamal Kharrazi: Mgogoro wa Lebanon unatokana na uchochezi wa Saudia
Nov 11, 2017 04:09Kamal Kharrazi, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iran ambaye hivi sasa ni mkuu wa Baraza la Stratijia za Uhusiano wa Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mgogoro wa hivi sasa wa kisiasa wa Lebanon unatokana na uchochezi wa wazi wa Saudi Arabia.
-
Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati
Nov 10, 2017 11:33Imebainika kuwa, utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinapanga njama ya kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia aingilia masuala ya ndani ya Lebanon
Nov 10, 2017 04:48Ikiwa imepita karibu wiki moja baada ya Saad Hariri kujiuzulu nafasi ya Waziri Mkuu wa Lebanon, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameibuka na kudai kuwa Riyadh haitoruhusu Lebanon iwe chanzo cha kusumbuliwa Saudi Arabia.
-
Chama cha Hariri: Hatutambui kujiuzulu Saad Hariri, anapaswa kurudi Lebanon haraka
Nov 09, 2017 13:50Chama cha al-Mustaqbal kinachoongozwa na Saad al-Hiriri, Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu wadhifa huo Jumamosi iliyopita huko Saudia, kimesema kuwa bado kinamtambua kuwa ni waziri mkuu wa Lebanon.
-
Bunge: Shughuli za serikali ya Lebanon zitaendelea licha ya kujiuzulu Hariri
Nov 09, 2017 04:31Spika wa Bunge la Lebanon amesema shughuli za Baraza la Mawaziri la nchi hiyo zitaendelea kama kawaida licha ya kujiuzulu Waziri Mkuu, Saad Hariri.
-
Misri yakataa kuburuzwa na Saudia; yapinga vikwazo dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 04:22Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amesisitiza kuwa, licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi za Kiarabu ziiwekee vikwazo Hizbullah ya Lebanon lakini Cairo haina nia kabisa ya kufanya hivyo.