Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Rais wa Lebanon akataa ombi la kujiuzulu Hariri, amtaka arejee nchini

    Rais wa Lebanon akataa ombi la kujiuzulu Hariri, amtaka arejee nchini

    Nov 05, 2017 23:15

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema atakubali ombi la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Saad Hariri la kujiuzulu kwa sharti kiongozi huyo aliyeko Saudi Arabia kwa sasa arejee nchini na atoe ufafanuzi wa kina.

  • Iran yakanusha madai ya Trump ya kuipatia Yemen makombora

    Iran yakanusha madai ya Trump ya kuipatia Yemen makombora

    Nov 05, 2017 11:28

    Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amekanusha madai yasiyo na msingi ya Rais wa Marekani kuwa eti Yemen imepokea makombora kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Qassemi: Kujiuzulu Hariri na matamshi aliyotoa ni hila nyengine ya kuzusha fitna na mivutano katika eneo

    Qassemi: Kujiuzulu Hariri na matamshi aliyotoa ni hila nyengine ya kuzusha fitna na mivutano katika eneo

    Nov 05, 2017 04:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kujiuzulu Saad Hariri wadhifa wa uwaziri mkuu wa Lebanon ni ishara ya hila mpya inayofanywa ili kuzusha mivutano ndani ya Lebanon na eneo la Mashariki ya Kati.

  • Saad Hariri ajiuzulu uwaziri mkuu wa Lebanon akiwa safarini nchini Saudia

    Saad Hariri ajiuzulu uwaziri mkuu wa Lebanon akiwa safarini nchini Saudia

    Nov 04, 2017 12:37

    Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo katika hotuba aliyotoa akiwa nchini Saudi Arabia.

  • Ukosoaji wa Walebanon kwa misimamo ya uzushaji fitina ya viongozi wa Saudi Arabia

    Ukosoaji wa Walebanon kwa misimamo ya uzushaji fitina ya viongozi wa Saudi Arabia

    Nov 03, 2017 00:39

    Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu wa Lebanon imeyataja kuwa ya kushangaza matamshi ya Thamer al Sabhan, Waziri Mshauri wa Saudi Arabia katika Masuala ya Eneo la Ghuba ya Uajemi kuhusu kunyamaza kimya serikali na taifa la Lebanon mbele ya siasa za Hizbullah ya Lebanon na kueleza kwamba, matamshi hayo ni ya kuchochea vita vya ndani.

  • Rais wa Lebanon: Iran ni nchi yenye nguvu katika eneo la Mashariki ya Kati

    Rais wa Lebanon: Iran ni nchi yenye nguvu katika eneo la Mashariki ya Kati

    Oct 31, 2017 04:19

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amesisitiza kuwa Iran ni nchi yenye nguvu katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba nafasi ya Tehran katika matukio ya eneo hilo haiwezi kupuuzwa.

  • Maulama wa Suni na Shia Lebanon wasisitizia mapambano dhidi ya ugaidi

    Maulama wa Suni na Shia Lebanon wasisitizia mapambano dhidi ya ugaidi

    Oct 21, 2017 12:54

    Maulama wa Kiislamu wa madhehebu za Shia na Suni nchini Lebanon wanesema kuwa kufeli mradi kabambe wa Marekani na Israel kupitia ugaidi, hakuna maana ya kumalizika kwa vita na wametoa wito wa kuendelezwa muqawama kwa ajili ya vita vya baadaye.

  • Saudia yaendeleza njama dhidi ya makundi yanayopambana na Israel

    Saudia yaendeleza njama dhidi ya makundi yanayopambana na Israel

    Oct 10, 2017 23:04

    Jumuiya ya vyama vya siasa nchini Lebanon umetangaza kuwa, matamshi yaliyotolewa na Waziri Mshauri katika Masuala ya Ghuba ya Uajemi wa Saudi Arabia kuhusu harakati ya Hizbullah ya Lebanon yanaakisi siasa za utawala wa kifalme wa nchi hiyo dhidi ya kambi inayopambana na utawala haramu wa Isarel.

  • Lebanon yakamata genge la majasusi wa Mossad

    Lebanon yakamata genge la majasusi wa Mossad

    Oct 07, 2017 23:11

    Vikosi vya usalama vya Lebanon vimetangaza kukamata genge lenye mfungamano na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad.

  • Jeshi la Lebanon: Vitisho vya Israel havitutishi

    Jeshi la Lebanon: Vitisho vya Israel havitutishi

    Sep 23, 2017 12:00

    Kamanda wa Jeshi la Lebanon ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo liko tayari kukabiliana na aina yoyote ya vitisho vya jeshi la utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS