Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Bunge la Libya lapiga kura ya kutokuwa na imani na Baraza Kuu la Serikali ya nchi hiyo

    Bunge la Libya lapiga kura ya kutokuwa na imani na Baraza Kuu la Serikali ya nchi hiyo

    Sep 23, 2021 00:43

    Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na Baraza Kuu la Serikali ya nchi hiyo. Hatua hiyo imecukuliwa huku pande zote zinazozozana nchini Libya zikiwa mbioni kutayarisha mazingira mwafaka ya kuitisha uchaguzi huru na wa haki nchini humo na kukomesha mgogoro unaoendelea kwa zaidi ya miaka 10 sasa katika nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika.

  • Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya nchi hiyo

    Bunge la Libya limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya nchi hiyo

    Sep 21, 2021 23:52

    Abdallah Bilhaq Msemaji wa bunge la Libya lenya makao yake katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi hiyo jana adhuhuri alitangaza kuwa bunge hilo limepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya mpito ya hiyo.

  • Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupotea maelfu ya wahajiri waliorejeshwa Libya

    Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupotea maelfu ya wahajiri waliorejeshwa Libya

    Sep 19, 2021 02:09

    Afisa mmoja wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amebainisha kutiwa wasiwasi na kupotea maelfu ya wahajiri ambao walikatizwa safari yao kuelekea Ulaya na kisha kurejeshwa Libya.

  • Algeria na Libya zakubaliana kufunguliwa tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli

    Algeria na Libya zakubaliana kufunguliwa tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli

    Sep 17, 2021 22:01

    Rais wa Algeria na Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya wamekubaliana kufungua tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli mji mkuu wa Libya.

  • Shakhsiya watiifu kwa utawala wa Gaddafi kuwa na nafasi muhimu katika uchaguzi ujao Libya

    Shakhsiya watiifu kwa utawala wa Gaddafi kuwa na nafasi muhimu katika uchaguzi ujao Libya

    Sep 12, 2021 06:37

    Hatua ya kuachiwa huru wiki hii mwana wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, ni ishara kwamba Libya inaelekea katika mageuzi makubwa.

  • Bunge la Libya lapitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba

    Bunge la Libya lapitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba

    Sep 10, 2021 08:03

    Duru za habari zimetangza kuwa bunge la Libya limepitisha sheria ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu.

  • Ujerumani yafungua tena ubalozi wake huko Tripoli, Libya

    Ujerumani yafungua tena ubalozi wake huko Tripoli, Libya

    Sep 09, 2021 22:16

    Ujerumani imefungua tena ubalozi wake huko Libya baada ya kufungwa kwa miaka minane.

  • Mpango wa maridhiano ya kitaifa nchini Libya

    Mpango wa maridhiano ya kitaifa nchini Libya

    Sep 07, 2021 22:10

    Mkuu wa Baraza la Uongozi nchini Libya Mohamed al-Menfi ametangaza kwamba mpango wa maridhiano ya kitaifa umeanza rasmi nchini humo na kwamba utekelezaji wa mpango huo ni hatua muhimu katika njia ya kukomesha machafuko katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Majirani wa Libya wamaliza mkutano wao; wasisitiza kutopatiwa silaha mamluki

    Majirani wa Libya wamaliza mkutano wao; wasisitiza kutopatiwa silaha mamluki

    Sep 01, 2021 06:46

    Kikao cha mataifa jirani na Libya kilichokuwa kikifanyika nchini Algeria kimemalizika huku washiriki wa mkutano huo wakisisitizia ulazima wa kuzuia kupatiwa silaha mamluki na wakati huo huo kukabiliana na hatua za kuzusha mifarakano miongoni mwa Walibya.

  • Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya; tatizo kubwa na la kimsingi

    Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya; tatizo kubwa na la kimsingi

    Aug 31, 2021 03:48

    Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya bado lingali ni tatizo kuu na la kimsingi kwa nchi hiyo katika njia ya kurejesha amani na uthabiti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS