-
HRW: Imarati imetuma mamia ya vijana wa Kisudan kupigana vita Libya
Nov 02, 2020 23:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch lenye makao yake makuu mjini New York nchini Marekani limetangaza kuwa, kampuni ya huduma za ulinzi na usalama ya Black Shield ya Imarati iliajiri karibu vijana 270 za Kisudani kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) lakini vijana hao walijikuta wakitumwa Libya kwenda kupigana katika safu za jenerali muasi, Khalifa Haftar.
-
Libya yamtaka Rais wa Ufaransa awaombe radhi Waislamu kwa kumvunjia heshima Mtume (saw)
Oct 30, 2020 03:10Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya imelaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emanuel Macron wa Ufaransa akimvunjia heshima Mtume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) na kumtaka awaombe radhi Waislamu
-
Libya yamtaka Macron awaombe radhi Waislamu duniani
Oct 26, 2020 23:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imelaani matamshi ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na Uislamu na kumtaka afanye haraka kuwaomba radhi Waislamu duniani.
-
Wahamiaji 11 akiwemo mjamzito wafa maji Libya wakielekea Ulaya
Oct 26, 2020 08:10Wahajiri 11 akiwemo mwanamke mjamzito wamefariki dunia katika Bahari ya Mediterania baada ya boti yao kuzama, huko pwani ya Libya.
-
Umoja wa Afrika wapongeza makubaliano ya kusitisha vita nchini Libya
Oct 25, 2020 08:42Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amepongeza makubaliano ya kukomesha vita na mapigano nchini Libya akiyataja kuwa ni hatua muhimu katika njia ya kurejesha amani katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Iran: Njia pekee ya kuutatua mgogo wa Libya ni mazungumzo na njia za kisiasa
Oct 24, 2020 23:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga uingiliaji wa aina yoyote ile wa masuala ya ndani ya Libya ikiwa ni pamoja na mchakato wa mazungumzo na makubaliano ya pande hasimu nchini humo.
-
Kutia saini pande hasimu nchini Libya makubaliano ya usitishaji vita
Oct 24, 2020 02:46Hatimaye baada ya mazungumzo marefu na tata pande hasimu nchini Libya zimetiliana saini makubaliano ya usitishaji vita.
-
Pande hasimu Libya zasaini makubaliano ya usitishaji vita
Oct 23, 2020 09:27Pande zinazozozana Libya leo Ijumaa zimesaini makubaliano ya kusitisha vita chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa. Makubaliano hayo yamesaini huko Geneva nchini Uswisi
-
Umoja wa Mataifa:Tuna imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitishwa mapigano Libya
Oct 21, 2020 23:08Kaimu mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ana imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitisha mapigano nchini Libya kutokana na mazungumzo yanayoendelea kati ya pande hasimu.
-
Wanasiasa Libya wapinga kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na Tel Aviv
Oct 15, 2020 00:59Duru za kidiplomasia nchini Tunisia zimeripoti kuwa, aghalabu ya wanasiasa na wanajeshi wa Libya wanapinga kuanzishwa uhusiano kati ya Tripoli na Tel Aviv.