-
Watu elfu moja wauawa Libya, Misri na Imarati zatuhumiwa kushambulia wahajiri
Jul 05, 2019 23:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahajiri limetangaza kuwa, tangu mwezi Aprili mwaka huu hadi hivi sasa, karibu watu elfu moja wameshauawa nchini Libya.
-
Putin: Magaidi wanatorokea Libya, wakitokea Syria
Jul 05, 2019 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, mgogoro wa kiusalama Libya huenda ukapanuka zaidi kutokana na wimbi la wananchama wa magenge ya kigaidi ambao wanatorokea nchi hiyo, wakitokea katika mkoa wa Idlib uliko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Uungaji mkono wa rais wa Misri kwa Haftar katika mazungumzo yake ya simu na Trump
Jul 05, 2019 02:39Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Misri amesema kuwa rais wa nchi hiyo amezungumza na mwenzake wa Marekani kuhusiana na masuala ya Libya na Sudan.
-
Kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya; takwa la kufanyika uchunguzi kuhusu uwepo wa silaha za Marekani
Jul 04, 2019 03:32Sanjari na kushadidi vita na mapigano nchini Libya, uingiliaji wa kigeni katika nchi hiyo nao umeongezeka.
-
Marekani yakwamisha azimio la Baraza la Usalama kuhusu mauaji ya wahajiri Libya
Jul 04, 2019 03:02Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilimaliza kikao chake cha faragha jana jioni kwa wakati wa New York kuhusiana na Libya bila ya kuafikiana mwafaka kuhusu shambulizi la anga lililolenga makazi ya wahajiri katika eneo la Tajoura huko mashariki mwa Tripoli ambalo limeua wakimbizi 60 na kujeruhi wengine zaidi ya 130.
-
AU yalaani kushambuliwa wahajiri nchini Libya
Jul 03, 2019 22:13Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani shambulio la anga lililofanywa na jenerali muasi Khalifa Haftar dhidi ya kituo cha kuhifadhia wahajiri karibu na Tripoli, mji kuu wa Libya.
-
Seneti yataka kuchunguzwa uwepo wa silaha za Marekani nchini Libya
Jul 03, 2019 08:23Mkuu wa Kamati ya Baraza la Seneti la Marekani ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu silaha za nchi hiyo zilizotumiwa na jeshi la jenerali muasi wa Libya Khalifa Haftar.
-
40 wauawa, 80 wajeruhiwa katika shambulizi la anga dhidi ya kituo cha wahajiri Libya
Jul 02, 2019 22:19Watu wasiopungua 40 wameuawa huku wengine zaidi ya 80 wakijeruhiwa katika shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Makombora ya Marekani yanaswa Libya katika ngome ya Haftar
Jun 30, 2019 03:13Wanajeshi wa serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj na ambayo inaungwa mkono na jamii ya kimataifa wamenasa makombora ya Marekani yaliyokuwa yakitumiwa na vikosi vinavyojiita Jeshi la Kitaifa linaloongozwa na kamanda muasi Khalifa Haftar.
-
Walibya wamfungulia Khalifa Haftar mashitaka ya jinai za kivita
Jun 28, 2019 10:58Raia wa Libya wanaoishi Marekani wamemfungulia mashitaka ya jinai za kivita kamanda muasi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, Jenerali Khalifa Haftar wakisisitiza kuwa wapiganaji wa kamanda huyo wameua jamaa zao katika mashambulizi ya hivi karibuni ya mabomu katika mji mkuu Tripoli.