-
Interpol yawatia nguvuni watu 40 kwa kufanya magendo ya binadamu Libya
Nov 24, 2017 01:03Watu wasiopungua 40 wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kufanya magendo ya binadamu katika eneo la magharibi mwa Afrika baada ya kusambaa mkanda wa video unaoonesha wakimbizi wa Kiafrika wakipigwa mnada na kuuzwa kama bidhaa nchini Libya.
-
Rais wa Ufaransa alalamikia utumwa nchini Libya
Nov 23, 2017 03:42Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesisitizia udharura wa kung'olewa kikamilifu magenge ya magendo ya binadamu nchini Libya.
-
Congo DR, Burkina Faso zawaita nyumbani mabalozi wao Libya kupinga biashara ya utumwa
Nov 22, 2017 23:58Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burkina Faso ziimewaita nyumbani mabalozi wao nchini Libya kupinga biashara ya utumwa na kuuzwa wahajiri wa Kiafrika nchini humo.
-
Umoja wa Afrika waanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa nchini Libya
Nov 22, 2017 04:28Umoja wa Afrikka umetangaza kuwa, unaanzisha uchunguzi kuhusiana na ripoti ziliozenea kwamba, wahajiri wa Kiafrika nchini Libya wamekuwa wakiuzwa na kununuliwa kama bidhaa.
-
Hali mbaya ya wahajiri wa Afrika nchini Libya
Nov 20, 2017 07:53Sambamba na kuendelea hali mbaya ya wakimbizi na wahajiri wa Kiafrika nchini Libya, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutuhumu Umoja wa Ulaya kwamba, unapuuza hali mbaya wanayokabiliwa nayo wahajiri wa Kiafrika.
-
Libya yaanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa
Nov 19, 2017 23:18Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa wameanzisha uchunguzi kuhusu suala la kushikiliwa na kuuzwa wahajiri kama watumwa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
AU yasema Libya imegeuzwa kuwa kitovu cha soko la utumwa duniani
Nov 18, 2017 03:59Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU ametoa mwito kwa vyombo vya dola nchini Libya kuanzisha uchunguzi juu ya ripoti zinazosema kuwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ni kitovu cha biashara ya utumwa.
-
Benki Kuu ya Libya: Hali ya uchumi wa nchi ni mbaya
Nov 16, 2017 00:51Gavana wa Benki Kuu ya Libya ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kiuchumi inayoikabili nchi hiyo.
-
UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu
Nov 15, 2017 03:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.
-
Mamia ya viwiliwili vya magaidi wa ISIS vimehifadhiwa katika vyumba vya maiti Libya
Nov 14, 2017 03:56Libya imetangaza habari ya kuhifadhiwa mamia ya viwiliwili vya magaidi wa Daesh katika mji wa Misrata tangu mwaka mmoja uliopita.