Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    Nov 12, 2017 10:42

    Umoja wa Mataifa umeanza zoezi la kuwahamisha wakimbizi wa nchi za Afrika walioko Libya na kuwapeleka nchini Niger.

  • ICC yatahadharisha kuhusu uhalifu dhidi ya wahamiaji Libya

    ICC yatahadharisha kuhusu uhalifu dhidi ya wahamiaji Libya

    Nov 09, 2017 00:45

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, imeonya kuwa itachukua hatua kuhusu wanaotenda uhalifu dhidi ya wahamiaji waliofungwa au kusafirishwa kwa njia haramu kupitia Libya.

  • Wahajiri 73 wapoteza maisha katika fukwe za Libya

    Wahajiri 73 wapoteza maisha katika fukwe za Libya

    Nov 08, 2017 04:17

    Wahajiri 73 wamekufa maji katika bahari ya Mediterranean wakati walipokuwa wanajaribu kuzifikia fukwe za Italia kutokea Libya.

  • Wahajiri 900 waokolewa, 7 wafa maji katika pwani ya Libya

    Wahajiri 900 waokolewa, 7 wafa maji katika pwani ya Libya

    Nov 02, 2017 04:40

    Miili saba ya wahajiri haramu imepatikana ndani ya boti ya plastiki karibu na pwani ya Libya, huku mamia ya wengine wakiokolewa kusini mwa bahari ya Mediterranean.

  • Mashambulizi ya anga ya vikosi vya Jenerali Haftar yaua na kujeruhi 42 Libya

    Mashambulizi ya anga ya vikosi vya Jenerali Haftar yaua na kujeruhi 42 Libya

    Oct 31, 2017 03:49

    Watu wasiopungua 17 wameuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la taifa la Libya katika mji wa Derna mashariki mwa nchi hiyo.

  • UN yalaani mauaji ya mateka Libya, yataka uchunguzi ufanyike

    UN yalaani mauaji ya mateka Libya, yataka uchunguzi ufanyike

    Oct 30, 2017 21:47

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro wa Libya amelaani mauaji ya mateka wasiopungua 37 nchini humo na ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu jinai hiyo.

  • Kaburi la umati lenye makumi ya maiti lagunduliwa Libya

    Kaburi la umati lenye makumi ya maiti lagunduliwa Libya

    Oct 27, 2017 04:20

    Kaburi la umati lenye miili ya watu wasiopungua 37 limegunduliwa katika viunga vya mji wa Benghazi nchini Libya.

  • Mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Libya yamalizika bila natija nchini Tunisia

    Mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Libya yamalizika bila natija nchini Tunisia

    Oct 22, 2017 04:10

    Umoja wa Mataifa umemaliza mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Libya, yaliyokuwa yanafanyika nchini Tunisia, bila ya natija yoyote.

  • Wahajiri haramu 147 waokolewa katika pwani ya Libya

    Wahajiri haramu 147 waokolewa katika pwani ya Libya

    Oct 18, 2017 04:18

    Kikosi cha ulinzi katika pwani ya Libya kimesema kuwa kimewaokoa wahajiri haramu wa Kiafrika 147 katika eneo la pwani la Garabulli magharibi mwa nchi hiyo.

  • Duru mpya ya mazungumzo ya utatuzi wa mgogoro wa Libya yaanza nchini Tunisia

    Duru mpya ya mazungumzo ya utatuzi wa mgogoro wa Libya yaanza nchini Tunisia

    Oct 15, 2017 10:27

    Wajumbe kutoka makundi mbalimbali ya Libya wameanza mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo katika nchi jirani ya Tunisia, chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS