-
Jeshi la Iran laanza mazoezi ya kukabiliana na ugonjwa wa corona
Mar 15, 2020 11:10Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limeanza mazoezi ya kukabiliana na kudhibiti ugonjwa wa COVID-19.
-
Askari 15 wa Kizayuni wajeruhiwa vibaya wakati wakifanya majaribio ya silaha
Feb 04, 2020 02:39Vyombo vya habari vimeripoti kwamba kwa akali askari 15 wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamejeruhiwa vibaya wakati wakifanya majaribio ya silaha.
-
Iran yazialika nchi za eneo kushiriki katika mazoezi ya kijeshi baharini
Dec 29, 2019 13:00Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia na kusema Iran inazialika nchi zote za eneo kushiriki katika mazeozo yajayo ya majeshi ya majini.
-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Iran, China, Russia; kigezo chenye ufanisi cha kieneo kuhusu usalama
Dec 28, 2019 00:25Kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China katika eneo lenye umuhimu wa kistratijia la kaskazini mwa Bahari ya Hindi na Bahari ya Oman ni ushirikiano wa kieneo usiohusisha madola ajinabi.
-
Radiamali ya Marekani kwa maneva ya Iran, Russia na China
Dec 27, 2019 07:17Sean Robertson msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema kuwa nchi hiyo ina taarifa kuhusu maneva kati ya Iran, Russia na China na inafuatilia maneva hiyo.
-
Maneva ya Iran, Russia na China; maneva ya pande tatu iliyo na ujumbe wa kimataifa
Dec 26, 2019 10:26Maneva ya kwanza ya baharini kati ya nchi tatu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China itafanyika hivi karibuni kaskazini mwa Bahari ya Hindi na ya Oman kwa lengo la kuimarisha usalama wa biashara ya kimataifa katika eneo hilo.
-
Korea Kaskazini yatoa radiamali kali kwa maneva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini
Apr 26, 2019 04:49Serikali ya Korea Kaskazini imetoa radiamali kali kufuatia maneva ya kijeshi ya hivi karibuni kati ya Marekani na Korea Kusini katika Rasi ya Korea.
-
Uwezo wa Iran wa kujihami na kumzuia adui; chanzo cha uthabiti na usalama
Feb 23, 2019 07:41Vikosi vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinadhibiti kikamilifu hali ya mambo na viko tayari kukabiliana na vitisho katika eneo.
-
Jeshi la Majini la Iran laanza mazoezi ya kijeshi ya Velayat 97
Feb 23, 2019 03:46Jeshi la Majini la Iran jana Ijumaa lilianza mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la Velayat 97 katika maji ya Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.
-
Jeshi la Iran lamaliza mazoezi kwa mafanikio
Jan 27, 2019 15:17Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limemaliza mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la "Iqtidar 97" ambayo yalianza Ijumaa katika eneo la Isfahan.