Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Maandamano ya kupinga kufungwa nchi yafanyika katika nchi za Ulaya

    Maandamano ya kupinga kufungwa nchi yafanyika katika nchi za Ulaya

    Mar 21, 2021 04:10

    Maafisa wa polisi katika nchi kadhaa za Ulaya wamekosolewa kwa kutumia nguvu kupita kiasi kuzima maandamano ya wananchi wanaopinga maagizo mapya ya serikali za nchi hizo yaliyotangazwa kwa ajili kuzuia msambao wa wimbi la tatu la virusi vya Corona.

  • 4 wauawa katika maandamano ya kupinga kukamatwa kinara wa upinzani Senegal

    4 wauawa katika maandamano ya kupinga kukamatwa kinara wa upinzani Senegal

    Mar 06, 2021 04:44

    Kwa akali watu wanne wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya ghasia ya kulalamikia kitendo cha maafisa usalama kumtia mbaroni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Senegal.

  • Maelfu ya wananchi wa Tunisia waandamana mjini Tunis kuiunga mkono serikali

    Maelfu ya wananchi wa Tunisia waandamana mjini Tunis kuiunga mkono serikali

    Feb 28, 2021 04:32

    Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano kufuatia mwaliko wa chama tawala cha An Nahdhah na kwa lengo la kuiunga mkono serikali ya nchi hiyo.

  • Netanyahu kizimbani kujibu mashitaka ya ufisadi, maandamano yashtadi

    Netanyahu kizimbani kujibu mashitaka ya ufisadi, maandamano yashtadi

    Feb 08, 2021 08:34

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amepandishwa kizimbani, kujibu mashitaka ya ufisadi yanayomkabili, huku faili lake likifunguliwa upya wiki chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Bunge.

  • Maandamano yaendelea ndani ya Israel; Netanyahu ayafumbia macho na kuendeleza siasa za chuki dhidi ya Iran

    Maandamano yaendelea ndani ya Israel; Netanyahu ayafumbia macho na kuendeleza siasa za chuki dhidi ya Iran

    Feb 01, 2021 23:28

    Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel wamefanya maandamano kwa wiki ya 32 mfululizo dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni.

  • Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Jan 23, 2021 09:01

    Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan wamefanya maandamano ya kupinga uwezekano wowote wa kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wayemen waandamana kuilaani Marekani kwa kuiweka Ansarullah katika orodha nyeusi

    Wayemen waandamana kuilaani Marekani kwa kuiweka Ansarullah katika orodha nyeusi

    Jan 17, 2021 04:25

    Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano katika mkoa wa Sa'ada, kaskazini magharibi mwa nchi kulaani hatua ya Marekani ya kuliweka jina la Ansarullah katika orodha yake ya makundi ya kigaidi na kuitaka ifutilea mbali uamuzi wake huo.

  • Wairaq kufanya maandamano mamilioni leo kukumbuka siku waliyouawa shahidi makamanda wa muqawama

    Wairaq kufanya maandamano mamilioni leo kukumbuka siku waliyouawa shahidi makamanda wa muqawama

    Jan 02, 2021 23:24

    Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, lengo la maandamano makubwa yatakayofanywa leo na wananchi wa Iraq kwa mnasaba wa kukumbuka siku walipouliwa shahidi makamanda wa muqawama ni kutangazwa upinzani dhidi ya uwepo kijeshi wa Marekani katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya upinzani Zambia

    Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya upinzani Zambia

    Dec 24, 2020 04:42

    Kwa akali watu wawili wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya wapinzani wa Zambia, kuonyesha uungaji mkono wao kwa kinara wao, Hakainde Hichilema.

  • Wananchi wa Nigeria waandamana kuiunga mkono Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Wananchi wa Nigeria waandamana kuiunga mkono Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Dec 21, 2020 23:27

    Wananchi wa Nigeria wameandamana na kutangaza uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina na kupinga harakati za baadhi ya mataifa ya Kiarabu za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS