Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani yasambaa duniani kote

    Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani yasambaa duniani kote

    Jun 01, 2020 05:55

    Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe kumuuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika sambamba na kuendelea kushuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani, lakini pia yamesambaa na kuenea kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani hususan za Ulaya.

  • Maandamano, ghasia zashtadi Marekani licha ya 'kafyu' na kamatakamata

    Maandamano, ghasia zashtadi Marekani licha ya 'kafyu' na kamatakamata

    May 31, 2020 07:16

    Licha ya agizo la kutotoka nje usiku na kukamatwa mamia ya waandamanaji, lakini maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe kumuuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika, yameendelea kushuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani.

  • Iran: Sauti ya waandamanaji nchini Marekani lazima isikilizwe

    Iran: Sauti ya waandamanaji nchini Marekani lazima isikilizwe

    May 30, 2020 03:45

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sanjari na kulaani mauaji ya raia wa Marekani wenye asili ya Afrika, imesisitiza kuwa sauti za watu wanaoandamana kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya watu weusi lazima isikilizwe.

  • Wairaqi waandamana kulaana shambulizi la Daesh dhidi ya Hashd al-Sha'abi

    Wairaqi waandamana kulaana shambulizi la Daesh dhidi ya Hashd al-Sha'abi

    May 03, 2020 03:39

    Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad kulaani shambulizi la hivi karibuni la kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoua na kujeruhi makumi ya wanachama wa harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Sha'abi.

  • Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu

    Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu

    Apr 26, 2020 03:28

    Maelfu ya raia wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano kupinga makubaliano ya kuunda serikali ya muungano baina ya Benjamin Netanyahu ambaye ni kiongozi wa chama cha Licud na kiongozi wa chama cha Blue and White, Benny Gantz, huku wakimtaja Waziri Mkuu huyo wa Israel kama mshukiwa wa jinai na kiongozi fisadi ambaye hapaswi kuendelea kuuongoza utawala huo bandia.

  • Wamarekani waandamana baada ya kuchoshwa na kukaa majumbani

    Wamarekani waandamana baada ya kuchoshwa na kukaa majumbani

    Apr 19, 2020 03:17

    Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji na majimbo kadhaa kushinikiza kuondolewa kwa agizo la kuwataka wasalie majumbani mwao, kama njia ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona.

  • Malaki ya raia wa utawala bandia wa Israel waandamana dhidi ya Netanyahu kwenye mitandao ya kijamii

    Malaki ya raia wa utawala bandia wa Israel waandamana dhidi ya Netanyahu kwenye mitandao ya kijamii

    Mar 23, 2020 22:07

    Zaidi ya raia nusu milioni wa utawala bandia wa Israel wameshiriki katika maandamano ya mitandao ya kijamii dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo wakisisitiza kuwa kiongozi huyo ameendelea kujishikiza kwenye nafasi hiyo.

  • Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India

    Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India

    Mar 01, 2020 04:26

    Mamia ya raia wa Marekani wenye asili ya India wamefanya maandamano katika miji mikubwa ya Marekani kulaani na kupinga ghasia zilizopelekea makumi ya watu kuuawa katika mji mkuu wa India, New Delhi.

  • Waziri Mkuu wa Sudan aunda tume ya kuchunguza ukandamizaji dhidi ya raia

    Waziri Mkuu wa Sudan aunda tume ya kuchunguza ukandamizaji dhidi ya raia

    Feb 22, 2020 09:11

    Waziri Mkuu wa Sudan ametangaza kuwa ameunda tume ya kuchunguza vitendo vya ukandamizaji vilivyofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo Alkhamisi na Ijumaa ya jana.

  • Taifa la Iran laadhimisha miaka 41 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Taifa la Iran laadhimisha miaka 41 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 11, 2020 08:39

    Mamilioni ya wananchi wa Iran wamejitokeza mabarabarani katika miji na vijiji vya nchi hii kushiriki matembezi ya Bahman 22, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS