-
Mamia waandamana Tel Aviv na London kupinga 'Muamala wa Karne'
Feb 02, 2020 03:51Mamia ya watu wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, Tel Aviv kulaani "Muamala wa Karne" uliozinduliwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani, anayedai kuwa mapendekezo yaliyomo kwenye mpango huo ghalati yataleta suluhu ya amani ya mgogoro baina ya Israel na Palestina.
-
Maandamano dhidi ya sera ya kupenda vita ya Marekani yafanyika duniani
Jan 26, 2020 09:34Maandamano yameshuhudiwa katika nchi mbalimbali duniani kupinga sera ya kupenda vita ya Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kupinga hatua yoyote ya Washington ya kuanzisha vita na Iran.
-
Hashdu Shaabi: Marekani iondoke Iraq kwa khiari badala ya kusubiri kutimuliwa
Jan 25, 2020 04:11Harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Shaabi ya Iraq imemtaka Rais Donald Trump kuwaondoa wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu kwa khiari badala ya kusubiri watimuliwe kwa nguvu.
-
Ulinzi mkali Iraq sambamba na kuanza maandamano ya milioni ya watu ya kuifukuza Marekani
Jan 24, 2020 04:31Duru za usalama za Iraq zimetangaza habari ya kuwekwa ulinzi mkali katika kona zote za nchi hiyo ya Kiarabu hasahasa Baghdad kufuatia kuanza maandamano ya milioni ya watu ya kushinikiza kufukuzwa wanajeshi wa Marekani nchini humo.
-
Mfuasi wa Sheikh Zakzaky auawa na polisi katika maandamano Abuja
Jan 22, 2020 08:40Vikosi vya usalama nchini Nigeria vimemuua kwa kumpiga risasi mfuasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria katika maandamano ya kulalamikia kuendelea kushikiliwa gerezani kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump nchini Marekani
Jan 19, 2020 04:32Makumi ya maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani ukiwemo mji mkuu Washington, kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump wa nchi hiyo dhidi ya wanawake.
-
Wajordan waandamana kupinga makubaliano ya gesi na Israel
Jan 17, 2020 23:40Mamia ya wananchi wa Jordan wamefanya maandamano ya kupinga hatua ya serikali ya nchi hiyo kufikia mapatano ya mabilioni ya dola ya gesi asilia na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waislamu wa Russia waandamana kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 07, 2020 04:18Waislamu nchini Russia wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani mjini Moscow, kulaani hatua ya ugaidi ya utawala wa Donald Trump wa Marekani ya kumuua shahidi kamanda wa jeshi la Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Wamarekani waandamana kulaani uchu wa vita wa utawala wa Trump
Jan 05, 2020 04:27Maelfu ya wanaharakati na wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika makumi ya miji ukiwemo mji mkuu Washington, kulaani hatua ya utawala wa Donald Trump ya kumuua shahidi kamanda wa jeshi la Iran, Luteni Jenerali Soleimani, pamoja na hatua ya Washington ya kutuma maelfu ya askari katika eneo la Asia Magharibi.
-
Wairani waandamana kote nchini kuomboleza mauaji ya Jen. Soleimani
Jan 03, 2020 09:02Wananchi wa Iran katika mikoa na miji mbalimbali ukiwemo mji mkuu Tehran wamemiminika mabarabarani baada ya Sala ya Ijumaa kushiriki maandamano ya kuomboleza na kulaani mauaji ya kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran.