-
Trump apandwa na hasira kutokana na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq
Dec 31, 2019 23:23Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha radiamali yake kutokana na kufanyika maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa nchi hiyo huko Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
-
Mji mkuu wa Sudan washuhudia maandamano makubwa
Dec 26, 2019 01:17Maelfu ya wananchi wa mji mkuu wa Sudan Khartoum jana waliandamana wakitaka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya kiuchumi na kupatikana uadilifu katika nchi hiyo.
-
6 wauawa katika maandamano ya kupinga sheria tata dhidi ya Waislamu India
Dec 15, 2019 09:04Watu sita wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kupinga sheria iliyo dhidi ya Waislamu nchini India, huku taasisi za kimataifa, nchi na shakhsia mbalimbali duniani wakiendelea kukosoa hatua ya kupasishwa sheria hiyo tata.
-
Maandamano yashtadi Algeria licha ya kutangazwa mshindi wa urais
Dec 14, 2019 04:01Wananchi wa Algeria wameendelea kufanya maandamano katika barabara za miji mikubwa ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Algiers, licha ya mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni kutangazwa.
-
Maandamano ya kupinga vita yafanyika mbele ya balozi za Imarati katika nchi za Ulaya
Dec 03, 2019 04:09Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano hadi mbele ya balozi za Umoja wa Falme za Kiarabu katika nchi kadhaa za Ulaya.
-
Adel Abdulmahdi: Kile kinachoendelea kujiri huko Iraq ni fitna kubwa
Nov 27, 2019 10:41Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa kile kinachoendelea nchini humo hivi sasa ni fitna kubwa na kueleza kuwa serikali inaendelea kutekeleza majukumu yake ya kuwaunga mkono wananchi licha ya mashinikizo chungu nzima.
-
Wakazi wa Beni waandamana wakitaka askari wa MONUSCO waondoke DRC
Nov 22, 2019 23:11Wakazi wa mji wa Beni wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia wamefanya maandamano ya kushinikiza kuondoka nchini humo wanajeshi wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO.
-
Wanaharakati waandamana Chicago, Marekani kulaani hujuma za Israel, Gaza
Nov 22, 2019 23:08Makumi ya wanaharakati wamefanya maandamano katika mji wa Chicago jimboni Illinois nchini Marekani, kulaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na ndege za jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Ayatullah Khatami: Njama za maadui za kutikisa Mfumo zimegonga mwamba
Nov 22, 2019 09:57Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria njama za maadui za kutaka kutoa pigo kwa Mfumo wa Uongozi hapa nchini na kusema: "Hakuna mtu anayepinga watu kushiriki maandamano ya amani, lakini ni wazi maadui walitaka kushinikiza wimbi la ghasia na kuibua ukosefu wa usalama hapa nchini Iran."
-
Benki nchini Lebanon zafunguliwa chini ya ulinzi mkali baada ya ghasia
Nov 19, 2019 22:59Kwa mara nyingine benki za Lebanon zimefunguliwa na kuanza shughuli zake chini ya ulinzi mkali wa maafisa usalama wa nchi hiyo.