-
"Marekani inakusudia kuteka nyara maandamano ya amani ya Wairani"
Nov 18, 2019 08:44Msemaji wa serikali ya Iran amesema Marekani inafanya juu chini ili kupotosha mkondo wa maandamano ya amani ya wananchi wa Iran wanaolalamikia ongezeko la bei ya petroli, lakini njama hizo zitagonga mwamba.
-
Rouhani: Wairani wana haki ya kuandamana bila kufanya fujo
Nov 18, 2019 08:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa taifa hili wana haki ya kufanya maandamano, lakini maandamano ya amani ni tofauti na uibuaji wa fujo na hali ya mchafukoge.
-
Wakazi wa Haifa waandamana kuiunga mkono Gaza
Nov 16, 2019 08:59Wapalestina wanaoishi Haifa ndani ya utawala haramu wa Israel, wamefanya maandamano kuunga mkono wakazi wa Ukanda wa Gaza kutokana na jinai za Tel Aviv.
-
Wapinzani wa serikali nchini Pakistan watangaza mpango wa pili wa kuendeleza maandamano
Nov 14, 2019 04:00Chama cha Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu (Jamiat Ulema-e-Islam) nchini Pakistan ambacho kinaipinga serikali ya sasa ya Imran Khan, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, kimetangaza mpango wa pili katika kumuwekea mashinikizo zaidi waziri mkuu huyo ili ajiuzulu.
-
"Marekani inachochea maandamano katika nchi za Kiarabu kwa maslahi yake"
Nov 12, 2019 04:41Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inatumia maandamano yanayoshuhidiwa hivi sasa katika nchi kadhaa za Kiarabu kusukuma ajenda zake, na kuifanya Lebanon ishindwe kujisimamia yenyewe.
-
Maelfu ya Waislamu waandamana Ufaransa kupinga chuki dhidi ya Uislamu
Nov 11, 2019 09:18Maelfu ya watu wameshiriki maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kulalamikia chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
-
Maelfu ya raia wa Kuwait wafanya maandamano dhidi ya serikali
Nov 07, 2019 09:29Maelfu ya raia wa Kuwait wamefanya maandamano makubwa kulalamikia hali mbaya ya kiuchumi na kimaisha pamoja na sheria inayohusiana na uraia wa nchi hiyo.
-
Magaidi walioua watu katika maandamano ya Iraq watiwa nguvuni
Oct 31, 2019 07:04Kamanda wa Operesheni ya Baghdad amesema kuwa magaidi waliowalenga na kuua raia wanaoandamana nchini humo wametiwa nguvuni.
-
Wazimbabwe waandamana kupinga vikwazo vya nchi za Magharibi, wasema ni utumwa mamboleo
Oct 25, 2019 09:35Wafuasi wa chama tawala nchini Zimbabwe wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare wakilaani vikwazo vya nchi za Maghaibi ambavyo Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo anasema vimedumaza uchumi wa Zimbabwe.
-
Matukio yanayojiri Iraq; harakati inayofuata njia tata zaidi na muelekeo usiotabirika
Oct 24, 2019 23:02Matukio yanayojiri nchini Iraq yanaelekea kwenye njia tata zaidi na muelekeo usiotabirika, kufuatia safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini humo na msimamo wa wapinzani wa serikali wa kufanya maandamano Ijumaa ya leo ya tarehe 25 Oktoba.