-
Maelfu waandamana Sudan wakitaka kuvunjwa chama cha al-Bashir
Oct 22, 2019 04:36Maelfu ya wananchi wa Sudan wamejitokeza mabarabarani katika maandamano ya kushinikiza kuvunjiliwa mbali kilichokuwa chama tawala nchini humo.
-
Maandamano ya watu wa Lebanon, makataa ya Hariri na ahadi za Jenerali Aoun
Oct 19, 2019 23:03Miji mbali mbali ya Lebanon, ukiwemo mji mkuu wa nchi hiyo, Beirut, kwa siku kadhaa sasa imeshuhudia maandamano ya wananchi wanaolalamikia sera za kiuchumi za serikali ya Waziri Mkuu Saad Hariri.
-
Maandamano ya kupinga serikali yaendelea nchini Lebanon
Oct 18, 2019 11:49Maandamano ya kupinga serikali ya wananchi wa Lebanon yameendelea leo kwa waandamanaji kukusanyika karibu na ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge la nchi hiyo katika mji mkuu Beirut.
-
5 wauawa katika maandamano ya wapinzani wa Rais Conde wa Guinea
Oct 15, 2019 23:24Watu watano wameripotiwa kuuawa katika ghasia za maandamano ya wapinzani wanaopinga uwezekano wa Rais Alpha Conde wa Guinea kugombea muhula wa tatu wa urais kinyume na katiba.
-
Iraq yatangaza marufuku ya kutembea mjini Baghdad kudhibiti ghasia
Oct 03, 2019 04:25Waziri Mkuu wa Iraq, Adil Abdul Mahdi ametangaza marukufu ya kutembea watu na magari katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad kuanzia alfajiri ya leo Alkhamisi hadi hapo baadaye.
-
Amnesty International: Misri ni gereza kubwa la wakosoaji wa serikali
Sep 30, 2019 04:41Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali ukandamizaji na kamatakamata dhidi ya waandamanaji nchini Misri na kusisitiza kuwa nchi hiyo imegeuzwa kuwa gereza kubwa la wakosoaji.
-
Maandamano dhidi ya Trump New York kabla ya mkutano wa UNGA
Sep 24, 2019 04:25Maandamano makubwa dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani yameshuhudiwa mjini New York usiku wa kuamkia leo, masaa machache kabla ya kuanza mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini humo.
-
Wamisri wafanya maandamano dhidi ya utawala wa Rais Sisi
Sep 21, 2019 02:44Wananchi wa Misri wamefanya maandamano dhidi ya Rais Abdel Fattah al-Sisi wa nchi hiyo.
-
Waafrika Kusini wajiunga na wageni katika maandamano ya kulaani 'xenophobia'
Sep 15, 2019 02:50Wananchi wazalendo wa Afrika Kusini wamejiunga na raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini humo, katika maandamano ya kulaani ghasia na mauaji yanayowalenga raia wa kigeni hususan Waafrika wanaoishi nchini humo.
-
Vinara wa jaribio la mapinduzi Burkina Faso wahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela
Sep 02, 2019 22:37Waitifaki wawili wakubwa wa rais aliyeondolewa madarakani nchini Burkina Faso, Blaise Compaore, wamehukumiwa vifungo vya hadi miaka 20 jela kwa kupatikana na hatia ya kupanga mapinduzi ya mwaka 2015 dhidi ya serikali ya mpito nchini humo.