-
Rais Raisi: Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika teknolojia mpya
Mar 07, 2023 11:22Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran iko tayari kuzipatia nchi za Afrika elimu na teknolojia mpya ili kurahisisha ushiriki wa sekta binafsi katika uhusiano wa pande mbili.
-
Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)
Jan 09, 2023 10:50Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).
-
ECOWAS yaikosoa Mali kwa kurefusha kipindi cha mpito
Jun 08, 2022 10:47Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) imeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Mali ya kurefusha kipindi cha mpito kwa miezi 24.
-
Mapinduzi ya Burkina Faso na mustakbali usiojulikana wa nchi hiyo
Jan 26, 2022 11:25Kundi la askari wa jeshi la Burkina Faso linalojiita Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration chini ya uongozi wa Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba Jumatatu wiki hii lilijitokeza katika tevisheni ya taifa ya nchi hiyo likitangaza kusitishwa Katiba, kuivunja Serikali na Bunge na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo, Roch Marc Christian Kabore. Wanajeshi hao walisema kuwa Burkina Faso sasa iko chini ya mamlaka yao.
-
Taasisi ya Jiolojia ya Iran kuanza kazi magharibi mwa Afrika
Dec 01, 2021 11:43Kufuatia kutiwa saini mapatano ya ushirikiano baina ya Taasisi ya Jiolojia na Uchimbaji Madini ya Iran na Taasisi ya Madini ya Mali, Iran sasa inatarajiwa kuimarisha shuhuli zake za jiolojia na uchimbaji madini magharibi mwa Afrika.
-
Nchi za Magharibi mwa Afrika kuzindua sarafu moja mwaka 2027
Jun 21, 2021 02:53Jumuiya ya Uchumi ya Magharibi mwa Afrika ECOWAS imepasisha ramani mpya ya njia ya uzinduzi wa sarafu moja mwaka 2027, baada ya mpango wa awali wa kuzindua sarafu hiyo kuvurugwa na janga la Corona.
-
Ufaransa yasitisha Operesheni ya Barkhane eneo la Sahel, Afrika
Jun 11, 2021 07:58Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi hiyo karibuni hivi itasitisha Operesheni ya Barkhane ya eti kupambana na magenge ya kigaidi katika eneo la Sahel la Afrika.
-
Kushadidi harakati za ugaidi eneo la Afrika Magharibi
Jun 08, 2021 15:53Katika wiki za hivi karibuni kumeshuhudiwa kushadidi Harakati za makundi ya kigaidi katika eneo la Afrika Magharibi hasa Nigeria na nchi jirani. Katika hatua ya hivi kairbuni kabisa magaidi walishambulia kijiji kaskazini mwa Burkina Faso na kuua raia zaidi ya 160 huku wakitetekteza nyumba na masoko. Umoja wa Mataifa umetoa taarifa na kulaani hujuma hiyo ambayo imepelekea idadi kubwa ya raia kuuawa kwa umati.
-
Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad
Feb 17, 2021 02:24Kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika kimeanza katika mji mkuu wa Chad N’Djamena kwa kuhudhuriwa na viongozi wa Ufaransa na wa mataifa ya magharibi wa Afrika.
-
Liberia yatangaza hali ya hatari kutokana na wimbi la homa ya Lassa
Sep 03, 2019 13:28Vyombo vya mamlaka ya masuala ya afya nchini Liiberia vimetangaza hali ya hatari kutokana na mfumuko wa homa ya Lassa ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu wasiopungua 21 nchini humo katika mwaka huu wa 2019.