-
ICJ yaafikiana na Israel kuakhirisha kesi ya mauaji ya halaiki Gaza kwa miezi 6
Apr 18, 2025 06:45Katika hatua inayotia wasiwasi, Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeafiki ombi la kuakhirisha kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel, kuhusu kampeni ya kikatili na ya kijeshi ya utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Sudan yaiambia ICJ kuwa UAE inachochea mauaji ya halaiki Darfur
Apr 11, 2025 02:06Sudan iliiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) jana Alhamisi kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu umekiuka Mkataba wa Mauaji ya Kimbari kwa kuunga mkono vikosi vya wanamgambo huko Darfur, na kuwataka majaji wa mahakama hiyo kutoa amri ya dharura ya kuzuia mauaji ya kimbari katika eneo hilo.
-
Afrika Kusini: Katu hatutaondoa kesi dhidi ya Israel ICJ licha ya vitisho vya Trump
Feb 13, 2025 02:53Afrika Kusini imeapa kutoondoa kesi yake ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), licha ya vitisho, mashinikizo na kukatiwa misaada na utawala wa Donald Trump.
-
Wapalestina wapongeza uamuzi wa ICJ dhidi ya Israel
Jul 20, 2024 06:22Makundi ya kisiasa na kijamii ya Palestina yamepongeza uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kutazama ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuwa haramu na kinyume cha sheria.
-
Cuba kujiunga rasmi kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ
Jun 22, 2024 11:18Cuba imetangaza kutuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Uhispania yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Jun 07, 2024 02:45Siku chache baada ya Uhispania kutangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, nchi hiyo ya Ulaya imetuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu huko Gaza.
-
Afrika Kusini yaiomba Mahakama ya ICJ: Israel 'lazima izuiwe'
May 17, 2024 08:22Afrika Kusini imeitaka Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa iamuru kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Rafah kama sehemu ya kesi yake iliyofungua mjini The Hague inayoushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mauaji ya kimbari, ikisema utawala huo "lazima uzuiwe" ili kunusuru maisha ya Wapalestina.
-
Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuishtaki Israel katika mahakama ya ICJ
Mar 17, 2024 02:55Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza na kuishukuru Afrika Kusini kwa uamuzi wake wa kihistoria wa kuwasilisha kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
ICJ kuanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Ujerumani Aprili
Mar 16, 2024 07:21Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ wamesema kesi iliyowasilishwa na Nicagarua ikiishtaki Ujerumani kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina itaanza kusikilizwa mwezi ujao wa Aprili.
-
Afrika Kusini yaitaka ICJ ichukue hatua za dharura dhidi ya Israel
Mar 07, 2024 03:17Afrika Kusini imewasilisha ombi la dharura katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiitaka korti hiyo ya Umoja wa Mataifa ichukue hatua zaidi za dharura dhidi ya Israel, ikisisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni umeendelea kupuuza amri iliyotolewa na chombo hicho cha sheria.