-
Afrika yaanza kutengeneza dawa za kukabiliana na UKIMWI
Aug 05, 2025 04:17Nchi za Afrika zilizoko kusini mwa jangwa la Sahara zimepiga hatua muhimu kuelekea kujitegemea zaidi katika masuala ya afya kupitia hatua ya hivi karibuni zaidi ya kutengeneza dawa za kukabiliana na Virusi Vya Ukimwi, (VVU).
-
Vyombo vya habari vya michezo duniani vyalalamikia kimya cha FIFA mbele ya jinai za Israel
Oct 06, 2024 08:04Aghalabu ya vyombo vya habari mashuhuri vya michezo duniani vimekosoa kimya, mchezo wa kisiasa na unafiki wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) mkabala wa jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel.
-
Kuendelea visa vya watu kujichoma moto huko Marekani; nembo ya kupinga vita vya Ukanda wa Gaza
Sep 16, 2024 07:47Raia mmoja wa Marekani aliyejulikana kwa jina na Matt Nelson amejichoma moto katika mji wa Boston akipinga na kulalamikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Wamarekani waandamana kupinga himaya ya Washington kwa jinai za Israel huko Gaza
Feb 03, 2024 08:33Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano makubwa wakipinga uungaji mkono na himaya ya serikali ya Washington kwa jinai na mauaji yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kutaka kusitishwa mara moja vita huko Palestina.
-
Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria
Apr 02, 2023 04:35Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.
-
Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 21, 2022 23:38Kutokana na kushamiri hali mbaya ya kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wa nchi hizo wanapinga sera za Umoja wa Ulaya katika vita vya Ukraine. Hali mbaya ya uhaba wa nishati na wasiwasi unaotokana na msimu wa baridi kali unaokaribia kuanza,
-
Iran: Tawala za kidhalimu za Magharibi zimeshindwa kuficha dhati yao dhidi ya binadamu
Dec 04, 2022 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, baadhi ya nchi za Magharibi zimeshindwa kuficha dhati yao ya kijinai dhidi ya haki za binadamu licha ya kujifanya zinapigania haki za binadamu.
-
Korea ya Kaskazini yakosoa hali ya haki za binadamu katika nchi za Magharibi
Mar 23, 2021 03:10Korea ya Kaskazini imezikosoa nchi za Magharibi kwa kukiuka haki za binadamu na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kuchukua hatua ya kulipatia ufumbuzi tatizo hilo.
-
Wananchi wa Tunisia waendelea na maandamano ya kulalamikia mgogoro wa kisiasa
Mar 21, 2021 08:55Wananchi wa Tunisia wameendelea na maandamano ya kupinga mgogoro wa kisiasa na matatizo ya kiuchumi na kimaisha nchini mwao.
-
Waingereza waendelea kuandamana, wapinga ukatili wa kijinsia
Mar 16, 2021 05:55Mamia ya wananchi wa Uingereza wameendelea kuandamana katika mitaa ya kandokando ya Bunge la nchi hiyo wakipinga mauaji yaliyofanywa na afisa wa polisi dhidi ya Sarah Everard, mwanamke aliyekuwa na umri wa miaka 33. Waandamanaji hao wamefunga kabisa barabara za kandokando ya Bunge la nchi hiyo.