Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mbunge wa Ujerumani ataka kufukuzwa nchini humo jeshi la US

    Mbunge wa Ujerumani ataka kufukuzwa nchini humo jeshi la US

    Apr 03, 2023 04:56

    Mbunge mmoja wa Ujerumani ametoa mito wa kufukuzwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani ambavyo vimekuwepo nchini humo kwa karibu miongo minane.

  • Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Apr 02, 2023 23:53

    Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.

  • Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria

    Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria

    Apr 02, 2023 04:35

    Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.

  • kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China

    kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China

    Apr 01, 2023 22:53

    Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.

  • Ofisi ya Rais wa Iran: Marekani inapasa kuilipa Iran fidia ya uharibifu wa mali ndani ya miaka miwili

    Ofisi ya Rais wa Iran: Marekani inapasa kuilipa Iran fidia ya uharibifu wa mali ndani ya miaka miwili

    Apr 01, 2023 04:29

    Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Kisheria ya Kimataifa cha Ofisi ya Rais wa Iran amesema Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ imeamua kuwa serikali ya Marekani inapasa kufidia uharibifu iliousababisha dhidi ya Iran ndani ya kipindi cha miaka miwili, kutokana na kutwaa baadhi ya mali zake.

  • Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq

    Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq

    Mar 31, 2023 23:43

    Seneti ya Marekani Jumatano wiki hii ilihitimisha kibali ilichokuwa imekitoa kwa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) mwaka 1999 na 2002 kwa ajili ya vita huko Iraq na imepasisha uamuzi wa kufutwa kibali cha Pentagon kwa ajili ya kutekeleza oparesheni za kijeshi huko Iraq bila ya kuhitaji idhini ya Kongresi.

  • ICJ: Marekani ilikiuka sheria ya kimataifa kuzuia mali za Iran, iilipe fidia

    ICJ: Marekani ilikiuka sheria ya kimataifa kuzuia mali za Iran, iilipe fidia

    Mar 30, 2023 23:18

    Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) yenye makao yake mjini The Hague wamehukumu kuwa Marekani ilikiuka sheria za kimataifa kwa kuziruhusu mahakama za nchi hiyo kutaifisha mali zenye thamani ya takribani dola bilioni mbili kutoka kwa makampuni ya Iran, na kuiamuru Washington ilipe fidia, kiwango ambacho kitafahamika hapo baadaye.

  • Waafrika wamwambia Makamu wa Rais wa Marekani: Hatutaki ushoga

    Waafrika wamwambia Makamu wa Rais wa Marekani: Hatutaki ushoga

    Mar 30, 2023 08:41

    Ziara inayofanywa na Makamu wa Rais wa Marekani katika nchi tatu za Afrika imeambatana na malalamiko na wasiwasi mkubwa baina ya raia wa nchi za Afrika ambao wanamini kuwa moja ya malengo muhimu ya kiongozi huyo wa ngazi za juu wa Marekani barani Afrika ni kupigia debe ushoga na usagaji.

  • Ripoti ya China kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Marekani

    Ripoti ya China kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Marekani

    Mar 30, 2023 06:18

    China imetoa ripoti yake kuhusu hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Marekani katika mwaka uliopita wa 2022.

  • China yaonya, tutatoa jibu Rais wa Taiwan akikutana na Spika wa US

    China yaonya, tutatoa jibu Rais wa Taiwan akikutana na Spika wa US

    Mar 29, 2023 22:45

    China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua ya kujibu mapigo' iwapo Rais wa Taiwan, Tsai Ing-wen atakutana na Spika wa Kongresi ya Marekani, Kevin McCarthy katika safari yake inayotazamiwa kufanyika karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS