-
Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani
Sep 28, 2022 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa Marekani kwa kutekeleza sera ya vikwazo na kusababisha matatizo na masaibu kwa nusu ya watu wote duniani.
-
Nusu ya Wamarekani wanapinga kutumwa silaha Ukraine
Sep 28, 2022 22:51Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa, karibu nusu ya Wamarekani wanapinga kutuma misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine.
-
Moscow: Marekani inaichochea Russia itumie silaha za nyuklia
Sep 28, 2022 07:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, Marekani inafanya vituko ambavyo vinaonesha wazi kuwa lengo lake ni kuichochea Russia itumie silaha za nyuklia.
-
"Ni kinaya kwa wenye uraibu wa vikwazo kudai wanawahurumia Wairani"
Sep 28, 2022 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo inadai kuwa ina huruma na mapenzi na wananchi wa Iran, wakati ambapo imeliwekea taifa hili vikwazo shadidi.
-
Vikwazo vya Marekani vinazuia kupelekwa misaada ya kibinadamu Somalia
Sep 28, 2022 04:36Shirika moja la kibinadamu limesema vikwazo vya Marekani vya 'kupambana na ugaidi' vimekwamisha shughuli za kuwafikishia wananchi wa Somalia misaada ya kibinadamu.
-
Kuongezeka maradufu bajeti ya kijeshi ya UK, kushiriki London kwenye chokochoko za kijeshi za Washington
Sep 26, 2022 22:42Licha ya Uingereza kukumbwa na mgogoro wa kiuchumi baada ya janga la corona na kupungua thamani ya sarafu ya nchi hiyo, lakini London imeamua kuongeza maradufu bajeti yake ya matumizi makubwa ya kijeshi.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 04:50Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.
-
Sheikh Naim Qassim: Iran iliwasaidia wananchi wa Lebanon, lakini Marekani inawaadhibu
Sep 24, 2022 23:13Naibu Katibu Mku wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Iran ilikuwa pamoja na wananchi wa Lebanon katika matatizo na masaibu na iliwasaidia, lakini Marekani inawaadhibu.
-
Upinzani wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja
Sep 24, 2022 22:42Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Kundi la Marafiki wa Kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa wamedhihirisha upinzani wao dhidi ya vikwazo vya upande mmoja, na kusisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka, ardhi na kujitawala kwa nchi huru. Mawaziri hao wamesisitiza hilo katika mkutano wao uliofanyika kando ya kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo Septemba 22 huko New York.
-
Iran yajibu matamshi ya kifidhuli ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani
Sep 24, 2022 03:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametumia mtandao wa kijamii wa Twitter kujibu matamshi ya kifidhuli ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyejipa uthubutu wa kukosoa kile alichodai ni haki za binadamu nchini Iran.