-
Hamas yalaani mkutano wa 'Bodi ya Amani' ya Trump
Feb 20, 2026 06:18Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali kufanyika mkutano wa kile kinachoitwa 'Bodi ya Amani ya Gaza' huko nchini Marekani.
-
Uzandiki na undumakuwili wa wazi wa Marekani katika sera yake ya kurutubisha urani
Feb 19, 2026 07:16Waziri wa Nishati wa Marekani amesema, nchi hiyo itaanza tena kurutubisha madini ya urani
-
Iran, US zakamilisha duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana ya nyuklia, Geneva
Feb 17, 2026 10:09Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani imemalizika mjini Geneva, Uswisi.
-
Kallas: Estonia inaipiku Marekani katika uhuru wa kujieleza
Feb 16, 2026 06:41Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas amepuuzilia mbali ukosoaji wa Washington kuhusu mbinyo wa kutoa maoni katika nchi wanachama wa umoja huo, akisisitiza kwamba nchi yake ya asili ya Estonia ina uhuru mkubwa zaidi wa kujieleza kuliko Marekani.
-
Je dunia kweli imekubali uongozi wa Marekani?
Feb 14, 2026 07:12Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amedai dunia imekaribisha nafasi ya uongozi wa Marekani.
-
Kremlin: Russia haina mpango wa kushiriki mkutano wa 'Bodi ya Amani'
Feb 12, 2026 22:33Ikulu ya Russia ya Kremlin imethibitisha kwamba maafisa wa nchi hiyo hawana mpango wa kuhudhuria mkutano wa kwanza wa Bodi ya Amani (ya Gaza) uliopangwa kufanyika Februari 19 huko Washington.
-
China: Marekani ndiyo sababu kubwa zaidi ya kuvurugika nidhamu ya nyuklia duniani
Feb 12, 2026 02:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa mjibizo kwa madai ya Marekani kwamba nchi hiyo ilifanya jaribio la nyuklia mnamo mwaka 2020 na kusisitiza: "Marekani ndiyo chanzo kikubwa zaidi cha kuvurugika kwa nidhamu ya nyuklia duniani na utulivu wa kimkakati wa kimataifa."
-
Balozi wa Marekani katika NATO: Nchi za Ulaya wanachama wa NATO ni 'watoto wadogo'
Feb 11, 2026 23:01Balozi wa Marekani katika shirika la kijeshi la NATO Matthew Whitaker amewafananisha na watoto wanachama wa kambi ya Ulaya katika shirika hilo, ambao amesema ni lazima hatimaye waache kuwa chini ya malezi na matunzo ya mzazi wao wakatafute kazi.
-
Kengele ya hatari ya Russia kuhusu matokeo mabaya ya chokochoko yoyote dhidi ya Iran
Feb 11, 2026 06:59Serikali ya Russia imeonya kuhusu matokeo mabaya ya kuanzisha chokochoko yoyote dhidi ya Iran.
-
Maelfu ya Wairaqi wajiandikisha kuingia vitani kuisaidia Iran endapo itashambuliwa na Marekani
Feb 08, 2026 02:46Maelfu ya Wairaqi wamesaini hati ya ahadi ya kusaidia kuihami Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo itashambuliwa kijeshi na Marekani.