Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Imarati yaitishia Marekani, yasema itajitoa katika makubaliano ya kununua ndege za F-35

    Imarati yaitishia Marekani, yasema itajitoa katika makubaliano ya kununua ndege za F-35

    Dec 15, 2021 04:17

    Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeamua kusimamisha mazungumzo yake na Marekani kuhusu makubaliano ya kununua ndege za kivita aina ya F-35 zenye thamani ya dola bilioni 23.

  • China: Kizoro cha dai la demokrasia kimefunuka, sura halisi ya Marekani imefichuka

    China: Kizoro cha dai la demokrasia kimefunuka, sura halisi ya Marekani imefichuka

    Dec 14, 2021 06:27

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Marekani haiwezi tena sasa kuwababaisha na kuwapotosha watu.

  • Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria

    Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria

    Dec 13, 2021 09:03

    Gazeti la New York Times limewanukuu maafisa wa zamani wa jeshi wa Marekani, kwamba kitengo cha operesheni za siri cha jeshi la nchi hiyo kilikuwa kikiwaua mara kwa mara raia katika operesheni zilizotajwa kuwa ni dhidi ya Daesh nchini Syria.

  • Miji 12 mikubwa ya Marekani yavunja rekodi za matukio ya mauaji yanayojiri kila mwaka

    Miji 12 mikubwa ya Marekani yavunja rekodi za matukio ya mauaji yanayojiri kila mwaka

    Dec 11, 2021 08:32

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, miji 12 mikubwa ya Marekani imevunja rekodi za matukio ya mauaji yanayojiri kila mwaka nchini humo.

  • Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden

    Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden

    Dec 11, 2021 04:47

    Baada ya makelele mengi ya kipropaganda hatimaye Mkutano wa Demokrasia ulianza siku ya Alhamisi iliyopita kwa hotuba ya Rais Joe Biden huko Washington.

  • Russia: Luteka ya kijeshi ya Marekani na Israel ni tishio kwa usalama wa Asia Magharibi

    Russia: Luteka ya kijeshi ya Marekani na Israel ni tishio kwa usalama wa Asia Magharibi

    Dec 10, 2021 23:16

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa, mpango wa Marekani na Israel wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ni hatari kwa usalama na utulivu wa eneo nyeti la Asia Magharibi.

  • Trump:

    Trump: "Laana imshukie Netanyahu, kama si mimi nadhani Israel ingetokomezwa"

    Dec 10, 2021 09:37

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameeleza katika sehemu ya kumbukumbu zake kwamba licha ya huduma nyingi alizokuwa akitoa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini hatamsamehe Waziri Mkuu wa zamani wa utawala huo kwa kile alichofanya dhidi yake.

  • Mauaji na uhalifu wa kutumia mabavu vyaongezeka nchini Marekani

    Mauaji na uhalifu wa kutumia mabavu vyaongezeka nchini Marekani

    Dec 09, 2021 10:16

    Vitendo vya mauaji na uhalifu wa kutumia mabavu vinaripotiwa kuongezeka katika maeneo mbalimbali ya Marekani na kuwafanya wananchi wa hiyo kuendelea kukabiliwa na moja ya matatizo makubwa ya kijamii katika nchi hiyo.

  • Marekani yasusia kidiplomasia michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi nchini China

    Marekani yasusia kidiplomasia michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi nchini China

    Dec 09, 2021 01:14

    Jen Psaki Msemaji wa Ikulu ya White House alitangaza Jumatatu usiku kuwa, "serikali ya Joe Biden haitatuma mwakilishi rasmi au wa kidiplomasia katika michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi." Amedai kuwa sababu ya uamuzi huo wa serikali ya Marekani ni mauaji ya kimbari na jinai dhidi ya binadamu katika mkoa wa Xinjiang na vitendo vingine vya ukiukwaji wa haki za binadamu China.

  • Iran yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC

    Iran yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC

    Dec 09, 2021 01:11

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS