-
China: Sifa ya utumiaji mabavu inaistahiki Marekani peke yake
Feb 13, 2022 00:45Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China amesema, sifa ya utumiaji mabavu inaistahiki Marekani peke yake.
-
Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya
Feb 12, 2022 06:43Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.
-
White House: Mazungumzo ya Vienna yamefikia kwenye hatua nyeti na hasasi
Feb 10, 2022 04:28Msemaji wa Ikulu ya rais wa Marekani, White House, sambamba na kuanza tena duru mpya ya mazungumzo ya Vienna kati ya Iran na nchi zinazounda kundi la 4+1 amesema, mazungumzo hayo yamefikia hatua nyeti na hasasi.
-
Amir- Abdollahian: Hakuna ubunifu wowote wa jadi na mkubwa uliowasilishwa na Marekani
Feb 06, 2022 08:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hakuna ubunifu wowote wa jadi na mkubwa uliowasilishwa na Marekani kwa ajili ya kuondoa vikwazo na kurejea katika mapatano ya JCPOA.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu Marekani waandamana baada ya kuachiwa polisi aliyeua kijana mweusi
Feb 05, 2022 10:46Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano nchini Marekani kupinga hatua ya kuachiwa huru afisa wa polisi aliyemuua kijana mweusi.
-
Kamanda wa IRGC: Iran imesimama kidete kukabiliana na Marekani na waitifaki wake
Feb 04, 2022 08:21Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema katika kipindi cha miaka 43 iliyopita, Iran imesimama kwa adhama katika kukabiliana na mashinikzo ya juu kabisa ya Marekani na waitifaki wake.
-
Marekani yaua watoto, wanawake katika operesheni ya kijeshi Syria
Feb 03, 2022 09:18Kwa akali raia 13 wakiwemo watoto saba na wanawake watatu wameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Guterres apuuza mashinikizo ya US ya kutaka asusie Olimpiki China
Feb 03, 2022 09:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali mwito wa Balozi wa Marekani katika umoja huo wa kumtaka asusie hafla ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali nchini China.
-
Tufani kubwa yakata umeme wa makumi ya maelfu ya nyumba Marekani
Jan 31, 2022 00:35Kimbunga na mafuriko yaliyoripotiwa katika majimbo yasiyopungua matano nchini Marekani yamesitisha safari zaidi ya 6000 za ndege kutokana na upepo mkali, theluji na vimbunga vilivyoathiri ukanda wa pwani ya mashariki ya Marekani.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; ushindi wa ngome ya uzalishaji katika vita vya kiuchumi vya adui
Jan 31, 2022 00:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kusimama kidete sekta ya uzalishaji bidhaa za ndani mbele ya hujuma za kiuchumi na njama za adui za kujaribu kuizuia Iran isiuze mafuta na gesi yake, na pia kusimama imara mbele ya vita vya kuifungia Tehran vyanzo vya fedha za kigeni na kupanga njama za kuzuia mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi nyingine, kwa hakika ni jihadi na ni miongoni mwa ibada kubwa kabisa.