-
Ndege ya kijeshi ya Russia yatimua ndege ya kijasusi ya Marekani
May 06, 2021 08:07Russia imetangaza leo Alkhamisi kuwa imetumia ndege yake ya kivita kufukuza ndege ya kijasusi ya Marekani iliyokuwa ikijaribu kuingia katika anga ya nchi hiyo kinyume cha sheria katika Bahari ya Chukchi.
-
Tahadhari ya Mwanasheria Mkuu wa Marekani Kuhusu ugaidi wa ndani ya nchi hiyo
May 06, 2021 05:44Mwanasheria mkuu wa Marekani Merrick Garland ametahadharisha kuhusu hatari inayoibuka kwa kasi ya ugaidi wa ndani ya nchi na amelitaka bunge la nchi hiyo, Kongresi, kutenga fedha zaidi kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu kadhia hiyo na pia kwa ajili ya kuwasaka na kuwafikisha kizimbani magaidi wa ndani ya nchi.
-
Uchunguzi wa maoni kimataifa: Marekani ni tishio kuu zaidi kwa demokrasia
May 05, 2021 22:39Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanyika katika nchi 53 duniani yameonyesha kuwa, Marekani ndio tishio kubwa zaidi kwa demokrasia.
-
Iran: Mazungumzo ya Vienna yatasitishwa US ikiendelea kushupalia vikwazo
May 05, 2021 03:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mazungumzo ya Tehran na kundi la 4+1 yanayoendelea huko Vienna, Austria yatasimamishwa iwapo Marekani itaendelea kushupalia suala la kuwekewa vikwazo taifa hili.
-
Iran: Madai mapya ya wabunge wa Marekani yanalenga kuathiri mazungumzo ya JCPOA
May 04, 2021 07:22Mjumbe mmoja wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, msimamo mpya wa wabunge 220 wa Marekani kuhusu haki za binadamu nchini Iran unalenga kutoa taathira hasi kwa mazungumzo ya JCPOA.
-
Madai ya Rais Biden ya kudhoofika al-Qaeda na kukabiliana na ugaidi
May 04, 2021 06:34Rais Joe Biden wa Marekani Jumapili iliyopita alidai sambamba na kuanza kuondoka askari wa Marekani nchini Afghanistan baada ya miongono miwili kwamba, Washington itaendelea kufuatilia nyendo za magaidi na kusambaratisha aina yoyote ile ya tishio la ugaidi nchini Afghanistan.
-
Uvamizi na vita vya miaka 20 vya Afghanistan vimeigharimu Marekani dola trilioni mbili
May 02, 2021 22:17Ripoti iliyotolewa na kanali ya televisheni ya ABC News ya Marekani imeeleza kuwa, uvamizi wa kijeshi na vita vya miaka 20 vilivyoanzishwa na Marekani nchini Afghanistan vimegharimu takriban dola trilioni mbili na vifo vya watu wapatao laki moja na 20 elfu.
-
Tathmini ya siku 100 za serikali ya Biden kuwa ofisini
May 01, 2021 21:52Baada ya kupita siku 100 tokea Rais Joe Biden wa chama cha Democrat achukue madaraka ya Marekani, watu wamekuwa wakitathmini utendaji wa serikali yake katika kipindi hiki, kipindi ambacho baadhi ya wataalamu wanasema kwamba licha ya kufanikiwa katika baadhi ya sehemu lakini ameshindwa pakubwa kutekeleza ahadi alizotoa katika kampeni za uchaguzi.
-
Papa Francis atoa maagizo ya kupambana na ufisadi baina ya viongozi wa Vatican, maaskofu na makadinali
Apr 30, 2021 22:02Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani ameamuru kuwepo uwazi kamili wa kiuchumi na kifedha baina ya viongozi na wakurugenzi wa Vatican wakiwemo makadinali na kusimamiwa vyema utendaji wao.
-
Kukingia kifua Marekani jinai za Israel dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya 'Apartheid'
Apr 29, 2021 22:41Marekani imechukua msimamo wa upande mmoja wa kupinga ripoti ya Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch ambayo inasema, utawala haramu wa Israel unatenda "jinai dhidi ya binadamu na ubaguzi aina ya apartheid na ukandamizaji" dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.