Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mgogoro wa mauaji ya kiholela Marekani na kilio cha Joe Biden, rais wa nchi hiyo

    Mgogoro wa mauaji ya kiholela Marekani na kilio cha Joe Biden, rais wa nchi hiyo

    Apr 09, 2021 22:01

    Rais Joe Biden wa Marekani amelalamikia vikali mashambulizi ya silaha moto na mauaji ya kiholela nchini humo na ametaka uhalifu huo ukomeshwe mara moja. Amesema, mashambulizi ya silaha moto Marekani ni sawa na ugonjwa wa kuambukiza na ni aibu kwa nchi hiyo kimataifa.

  • Walensky : Ubaguzi wa rangi ni tishio kwa mfumo wa afya wa Marekani

    Walensky : Ubaguzi wa rangi ni tishio kwa mfumo wa afya wa Marekani

    Apr 09, 2021 09:36

    Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani amesema kuwa, ubaguzi wa rangi ni tishio kubwa kwa mfumo wa afya ya umma nchini humo.

  • Ushahidi mpya unaothibitisha uhusiano wa karibu wa Marekani na magaidi wa ISIS

    Ushahidi mpya unaothibitisha uhusiano wa karibu wa Marekani na magaidi wa ISIS

    Apr 09, 2021 06:36

    Marekani ina nafasi kubwa ya kuzuka na kupata nguvu magenge ya kigaidi hususan genge la kigaidi la Daesh (ISIS) hasa katika nchi za Kiislamu za Iraq na Syria. Sasa hivi ushahidi mpya umetolewa unaozidi kufichua uhusiano wa karibu sana baina ya Marekani na magaidi hao makatili.

  • Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran

    Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran

    Apr 08, 2021 03:37

    Kikao cha 18 cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kilifanyika juzi Jumanne huko Vienna mji mkuu wa Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa kundi la 4+1 na pia Iran. Nchi wanachama wa mapatano ya JCPOA baada ya majadiliano na kuchunguza mapatano hayo zimekubaliana kuendeleza mashauriano katika ngazi ya kitaalamu ili kuiondolea Iran vikwazo.

  • Tathmini ya kikao cha tatu cha Baghdad na washington

    Tathmini ya kikao cha tatu cha Baghdad na washington

    Apr 07, 2021 22:07

    Duru mpya ya mazungumzo ya kistratijia baina ya Baghdad na Washington ilianza jana Jumatano kwa njia ya video. Taarifa iliyotolewa huko nyuma na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilisema kuwa mazungumzo hayo yatahusu usalama, namna ya kupambana na ugaidi, nishati na masuala ya kisiasa.

  • Araqchi: Mkutano wa Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA Vienna ni chanya

    Araqchi: Mkutano wa Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA Vienna ni chanya

    Apr 07, 2021 03:17

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa ameashiria kuhusu mkutano wa jana Jumanne mjini Vienna wa Kamisheni ya Pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, muelekeo wa kikao hicho ni chanya na wenye kutia matumaini.

  • Yafichuka: Mossad imehusika katika jaibio la mapinduzi nchini Jordan

    Yafichuka: Mossad imehusika katika jaibio la mapinduzi nchini Jordan

    Apr 05, 2021 08:25

    Tovuti ya Axios ya Marekani imefichua kuwa, shirika la ujasusi la Israel, MOSSAD, limehusika katika jaribio la mapinduzi lililofanyika nchini Jordan.

  • Sisitizo la Marekani la kuiunga mkono Saudi Arabia; utendaji wa kindumakuwili wa serikali ya Biden

    Sisitizo la Marekani la kuiunga mkono Saudi Arabia; utendaji wa kindumakuwili wa serikali ya Biden

    Apr 05, 2021 04:58

    John Kirby, msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) alitangaza Jumamosi ya juzi katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, Washington itaendelea kuiunga mkono na kuihami Saudi Arabia.

  • Kuondolewa vikwazo dhidi ya maafisa wa Mahakama ya ICC vilivyowekwa wakati wa utawala wa Trump

    Kuondolewa vikwazo dhidi ya maafisa wa Mahakama ya ICC vilivyowekwa wakati wa utawala wa Trump

    Apr 04, 2021 07:59

    Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imetangaza kuondoa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa na serikali iliyopita ya Donald Trump dhidi ya maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Jengo la Congress la Marekani lafungwa kutokana na vitisho vya kiusalama

    Jengo la Congress la Marekani lafungwa kutokana na vitisho vya kiusalama

    Apr 03, 2021 02:54

    Vyombo vya habari vimetangaza kuwa, jengo la Congress ya Marekani limefungwa kutokana na vitisho vya kiusalama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS