-
Hizbullah yasema itaendelea kusimama na Iran mkabala wa Marekani
Feb 21, 2021 04:12Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama itaendelea kusimama bega kwa bega na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kukabiliana na Marekani.
-
Trump aliacha kwa makusudi maambukizo ya corona yaongezeke Marekani baada ya kubwagwa katika uchaguzi
Feb 21, 2021 00:44Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa la Magonjwa ya Kuambukiza ya nchini Marekani amesema kuwa, rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump aliacha kwa makusudi maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19 yaongezeke nchini humo baada ya kubwagwa katika uchaguzi wa Novemba 3, 2020.
-
Morocco yashadidisha ukandamizaji baada ya kuanzisha uhusiano na Israel
Feb 20, 2021 09:15Serikali ya Morocco imeshadidisha mbinyo, ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati na wananchi wa kawaida nchini humo, baada ya Rabat kukubaliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kuanzisha uhusiano wa pande mbili.
-
Khatibzadeh: Ili kuhuisha JCPOA, ni dharura Marekani kuondoa kivitendo vikwazo dhidi ya Iran
Feb 19, 2021 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema njia pekee ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya Iran.
-
Wabunge wa Iraq wataka uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo ukomeshwe
Feb 19, 2021 10:33Wabunge kadhaa wa Iraq wametoa indhari kuhusu uingiliaji wa Marekani hasa katika kadhia ya uchaguzi ujao wa bunge na katika masuala ya kijeshi na kiusalama ya nchi hiyo.
-
Biden akiri, ubaguzi wa rangi unaendelea kuitafuna jamii ya Marekani
Feb 19, 2021 04:38Ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kimbari na ukatili dhidi ya watu weusi daima vimekuwa miongoni mwa sifa kuu za jamii ya Marekani tangu nchi hiyo ilipoasisiwa, na hadi sasa Wamarekani weusi wangali wanasumbuliwa na aina mbalimbali za ubaguzi na ukatili.
-
Soko la bakaroa bandia dhidi ya corona lagunduliwa Marekani
Feb 18, 2021 06:27Maafisa wa afya nchini Marekani wameripoti kuwa, barakoa bandia milioni 11 zimenaswa nchini humo sambamba na nchi hiyo kuendelea kukabiliwa na uhaba mkubwa wa barakoa.
-
Trump azungumza kwa mara ya kwanza ya vyombo vya habari baada ya kuondoka White House, asema Biden ana matatizo ya kiakili
Feb 18, 2021 04:29Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amevishambulia vikali vyombo vya habari katika mazungumzo yake ya kwanza na vyombo vya habari baada ya kuondoka White House akimtuhumu rais wa sasa wa nchi hiyo, Joe Biden kuwa ana matatizo ya kiakili.
-
Nukta kadhaa za kuzingatiwa katika shambulio la makombora la Arbil, Iraq
Feb 17, 2021 23:06Shambulio la makombora lililofanyika Jumatatu usiku karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Arbil huko Iraq lilipelekea mtu mmoja kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Hofu ya kushadidi matatizo ya kiuchumi na kijamii nchini Marekani
Feb 15, 2021 23:09Katika miaka ya hivi karibuni, hali ya kiafya na tiba nchini Marekani daima imekuwa ikizorota na kuvurugika zaidi.