-
Ilhan Omar: Ubaguzi wa rangi bado unatawala Marekani
Feb 14, 2021 21:55Mbunge Muislamu katika Kongresi ya Marekani Ilhan Omar amesema kuwa kutohukumiwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump ni ishara ya kuendelea mgawanyiko wa kisiasa na kijamii na vilevile ubaguzi wa rangi katika nchi hiyo. Ilhan Omar ametahadharisha kuhusu athari mbaya za kutohukumiwa Trump katika vikao vya Baraza la Seneti ya Marekani.
-
Pelosi: Warepublican waliomuondoa Trump hatiani ni waoga
Feb 14, 2021 04:20Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani amewakosoa vikali Maseneta wa chama cha Republican waliopiga kura kumuondoa hatiani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Viashiria vya kuingia vita vya Yemen katika marhala mpya
Feb 13, 2021 08:18Inaonekana kuwa vita vilivyoanzishwa na muungano vamizi huko Yemen chini ya uongozi wa Saudi Arabia vimengia katika marhala mpya.
-
Biden atoa ahadi ya kufunga Guantanamo waliyoshindwa kutekeleza na Obama
Feb 13, 2021 05:14Rais Joe Biden wa Marekani ameahidi kuwa serikali yake itahakikisha kuwa gereza la kutisha la Guantanamo linafungwa kufikia mwishoni mwa uongozi wake.
-
Ammar al Hakim atilia mkazo ulazima wa askari wa Marekani kuondoka Iraq
Feb 12, 2021 23:25Kiongozi wa Harakati ya Hekima ya Kitaifa ya Iraq amesisitiza kuhusu ulazima wa Marekani kubadilisha mwenendo wake katika Asia Magharibi na askari wa nchi hiyo kuondoka katika eneo hilo.
-
Afisa wa Marekani adai utatuzi wa mgogoro wa Yemen ni kipaumbele cha serikali ya Biden
Feb 12, 2021 04:09Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amedai kuwa, kuna njia nzito katika juhudi za kutatua mgogoro wa Yemen, lakini pamoja na hayo utatuzi wa mgogoro huo ni katika vipaumbele vya Washington hivi sasa.
-
Ripoti: Sera mbovu za Trump ziliua maelfu ya Wamarekani
Feb 11, 2021 09:04Sera mbovu na ghalati za utawala uliopita wa Donald Trump nchini Marekani zilipelekea mamia ya maelfu ya Wamarekani kupoteza maisha.
-
Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani
Feb 11, 2021 08:59Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema taifa hili halijashuhudia nia njema wala mabadiliko ya kivitendo ya sera za Marekani mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Hashdu Shaabi kubuni mipango mipya ya kuwafukuza askari wa US Iraq
Feb 09, 2021 23:00Harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Shaabi ya Iraq imeonya kuwa, iwapo wanajeshi vamizi wa Marekani hawataheshimu uamuzi wa bunge la nchi hiyo wa kuwataka waondoke, basi itazindua mipango mipya ya kuwatimua askari hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wamarekani wana wasiwasi wa kuanza vita vya ndani sambamba na kukaribia kusailiwa kwa Trump
Feb 09, 2021 02:28Sambamba na kukaribia siku ya kuanza kikao cha kumsaili na kumshtaki aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, raia wengi wa nchi hiyo wana wasiwasi wa kuanza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.