Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Vitendo vya uhalifu vyaongezeka kwa asilimia 25 nchini Marekani

    Vitendo vya uhalifu vyaongezeka kwa asilimia 25 nchini Marekani

    Mar 19, 2021 04:32

    Polisi ya Federali ya Marekani FBI imetangaza habari ya kuongezeka kwa asilimia 25 vitendo vya uhalifu na jinai nchini humo katika mwaka uliopita wa 2020.

  • Uingiliaji wa aina tofauti wa Marekani katika masuala ya ndani ya Yemen

    Uingiliaji wa aina tofauti wa Marekani katika masuala ya ndani ya Yemen

    Mar 18, 2021 10:43

    Jumanne ya tarehe 16 Machi, Idara ya Kiitikadi ya Vikosi vya Ulinzi vya Yemen ilitoa nyaraka mpya zinazobainisha juu ya uwepo wa kijeshi wa Marekani na vituo vya kijeshi vya Washington huko nchini Yemen na pamoja na uhusiano wa serikali ya wakati huo ya Ali Abdullah Saleh na mashirika ya kijsasu ya Marekani.

  • Kushindwa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Kushindwa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Mar 17, 2021 23:16

    Baada ya serikali ya Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani kutangaza kujitoa rasmi katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA mnao Mei 2018, serikali hiyo ilianza kutekeleza vikwazo vikali zaidi katika historia ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika fremu ya mchakato wa kile kilichotajwa kuwa mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya nchi hii.

  • Iran yakanusha kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani

    Iran yakanusha kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani

    Mar 17, 2021 01:00

    Duru za kiusalama nchini Iran zimekadhibisha madai ya Marekani kwamba kuna mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanayoendelea baina ya Tehran na Washington.

  •  Marekani inafanya juu chini  kuzizuia nchi nyingine duniani zisinunue chanjo ya Russia

    Marekani inafanya juu chini kuzizuia nchi nyingine duniani zisinunue chanjo ya Russia

    Mar 16, 2021 08:49

    Kampuni ya Russia iliyotengeneza chanjo ya corona kwa jina la Sputnik -V k imeyataja mashinikizo ya Marekani kwa nchi nyingine duniani ili kuzizuia kununua chanj hiyo kuwa kitendo kisiho cha kimaadili.

  • Ansarullah: Marekani haitaki amani irejee Yemen

    Ansarullah: Marekani haitaki amani irejee Yemen

    Mar 16, 2021 04:46

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Serikali ya Marekani kwa matamshi yake ya upotoshaji na yasiyo ya kimantiki imeonyesha kuwa haitaki kuona amani ikirejea Yemen."

  • Iran: Marekani ni mvamizi Syria, itoke haraka

    Iran: Marekani ni mvamizi Syria, itoke haraka

    Mar 15, 2021 23:45

    Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madola vamizi ikiwemo Marekani yanapaswa kutoka katika ardhi ya Syria na hiyo ndiyo njia pekee ya kukomesha mapigano nchini humo na kutatuliwa kwa njia za amani mgogoro wa nchi hiyo.

  • Saudi Arabia, mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha duniani; Marekani muuzaji mkubwa

    Saudi Arabia, mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha duniani; Marekani muuzaji mkubwa

    Mar 15, 2021 08:36

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stokholm, SIPRI, zaidi ya thuluthi moja ya silaha zilizonunuliwa duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita zilinunuliwa kutoka Marekani na nusu ya silaha hizo zilitumwa katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Syria: Muongo mmoja baada ya kuanza vita vya kimataifa vya kigaidi

    Syria: Muongo mmoja baada ya kuanza vita vya kimataifa vya kigaidi

    Mar 15, 2021 07:56

    Umetimia muongo mmoja tokea vianze vita baina ya serikali ya Syria na makundi ya kigaidi. Swali muhimu ambalo linaibuka hapa ni hili, je ni kwa nini vita hivi vilianza na vimekuwa na matokeo gani baada ya kupita miaka 10.

  • 'Kufungiwa akaunti ya Twitter kumemuumiza zaidi Trump kuliko kushindwa katika uchaguzi'

    'Kufungiwa akaunti ya Twitter kumemuumiza zaidi Trump kuliko kushindwa katika uchaguzi'

    Mar 15, 2021 00:22

    Mpwa wa rais wa zamani wa Marekani amesema, kufungiwa Donald Trump akaunti yake ya Twitter na kunyimwa fursa ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya gofu vimemuumiza zaidi kuliko pigo alilopata kwa kushindwa katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS