Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Serikali ya Eswatini inakabiliwa na kesi mahakamani kuhusu watu waliofukuzwa Marekani

    Serikali ya Eswatini inakabiliwa na kesi mahakamani kuhusu watu waliofukuzwa Marekani

    Aug 24, 2025 07:24

    Kundi la mawakili watetezi wa haki za binadamu na taasisi zisizo na kiserikali (NGOs) linaishtaki serikali ya Eswatini kwa kukubali kuwapa hifadhi watu watano waliofukuzwa nchini Marekani.

  • Askari vamizi wa US waanza kuondoka kambi ya Ain al-Asad, Iraq

    Askari vamizi wa US waanza kuondoka kambi ya Ain al-Asad, Iraq

    Aug 23, 2025 02:45

    Wanajeshi vamizi wa Marekani wameanza kuondoka katika kambi ya anga ya Ain al-Asad katika Mkoa wa Al-Anbar nchini Iraq, hayo ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kwa nini Rais wa Colombia ametahadharisha kuhusu njama za Marekani za kuigeuza Venezuela kuwa Syria nyingine?

    Kwa nini Rais wa Colombia ametahadharisha kuhusu njama za Marekani za kuigeuza Venezuela kuwa Syria nyingine?

    Aug 23, 2025 00:28

    Rais wa Colombia ametahadharisha kuwa Marekani inaweza kuifanya Venezuela kuwa Syria nyingine.

  • Rais wa Bolivia: US inatumia kisingizo cha 'vita dhidi ya mihadarati' kuidhibiti Amerika ya Latini

    Rais wa Bolivia: US inatumia kisingizo cha 'vita dhidi ya mihadarati' kuidhibiti Amerika ya Latini

    Aug 22, 2025 06:33

    Rais Luis Arce wa Bolivia amelaani hatua iliyochukuliwa hivi karibuni na Marekani ya kutuma wanajeshi wake katika Bahari ya Karibea kusini.

  • Je, Marekani kwa vikwazo vipya dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inajiona kuwa juu ya sheria?

    Je, Marekani kwa vikwazo vipya dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inajiona kuwa juu ya sheria?

    Aug 21, 2025 09:31

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetaja vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taasisi hiyo kuwa ni shambulio la wazi dhidi ya uhuru wa mahakama.

  • ICC: Vikwazo vya US ni hujuma dhidi ya mamilioni ya wahanga wa jinai

    ICC: Vikwazo vya US ni hujuma dhidi ya mamilioni ya wahanga wa jinai

    Aug 21, 2025 02:13

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetumia maneno makali kuilaani Marekani, kwa hatua yake ya hivi karibuni ya kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo, kutokana na juhudi zao za kuwafungulia mashitaka maafisa Marekani na Israel wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu wa kivita na aina nyingine za ukatili.

  • Pezeshkian: Iran, Belarus zimesimama kidete kukabiliana na ubeberu wa US

    Pezeshkian: Iran, Belarus zimesimama kidete kukabiliana na ubeberu wa US

    Aug 20, 2025 09:03

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Marekani na baadhi ya washirika wake wa Magharibi wanalenga kupanua ubeberu na msimamo wa upande mmoja duniani kote, sambamba na kuyaburuza mataifa mengine, akisisitiza kwamba si Iran wala Belarus itavumilia muenendo huo.

  • Kwa nini viongozi wa Ulaya wanaandamana na Zelensky katika safari yake ya Washington?

    Kwa nini viongozi wa Ulaya wanaandamana na Zelensky katika safari yake ya Washington?

    Aug 18, 2025 23:15

    Baadhi ya viongozi wa Ulaya, wameamua kuandamana na Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine katika safari yake ya kwenda Washington katika hatua ya kidiplomasia ya kuunga mkono misimamo ya Ukraine katika mazungumzo yake na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya mashinikizo ya nchi hiyo ya kumtaka akubali haraka makubaliano ya amani.

  • Maelfu waandamana mjini New York kupinga sera ya njaa huko Gaza

    Maelfu waandamana mjini New York kupinga sera ya njaa huko Gaza

    Aug 17, 2025 07:54

    Maelfu ya wananchi wa Marekani wameshiriki maandamano huko mjini New York kutaka kukomeshwa utumiaji wa njaa kwa makusudi dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, sambamba na kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa za kukomesha mauaji ya halaiki katika eneo hilo.

  • Ni yapi matokeo ya mkutano wenye utata wa Trump na Putin?

    Ni yapi matokeo ya mkutano wenye utata wa Trump na Putin?

    Aug 16, 2025 07:57

    Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu na uvumi kuhusu mkutano kati ya Marais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Russia kuhusu vita vya Ukraine, mkutano huo hatimaye ulifanyika Ijumaa, Agosti 15 huko Alaska.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS