Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Maafa ya kibinadamu Yemen yafika kileleni kutokana na sera za Marekani

    Maafa ya kibinadamu Yemen yafika kileleni kutokana na sera za Marekani

    Apr 30, 2020 02:51

    Baada ya Marekani kukata mchango wake kwa Shirika la Afya Duniani (WHO), shirika hilo limetangaza kukata asilimia 80 ya misaada yake kwa watu wa Yemen.

  • Rais Erdoğan asisitiza kuwa Uturuki ni rafiki wa kuaminika wa Marekani

    Rais Erdoğan asisitiza kuwa Uturuki ni rafiki wa kuaminika wa Marekani

    Apr 29, 2020 22:08

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amemuandikia barua Rais Donald Trump wa Marekani akikariri kuwa Ankara ni mshirika wa kuaminika wa Washington, huku akisisitiza juu ya mshikamano wa pande mbili.

  • Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'

    Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'

    Apr 29, 2020 08:17

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu Wamarekani na kuwaambia wanapaswa kutambua kuwa Ghuba ya Uajemi ni njia muhimu ya baharini na eneo la kistratajia linalolindwa na litakaloendelea kulindwa kwa nguvu zote na taifa zima la Iran.

  • Kukaririwa madai yasiyo na msingi ya Marekani kuhusu uhuru wa kuabudu nchini Iran

    Kukaririwa madai yasiyo na msingi ya Marekani kuhusu uhuru wa kuabudu nchini Iran

    Apr 29, 2020 02:19

    Kamisheni ya Kimataifa ya Uhuru wa Kuabudu ya Marekani imetoa ripoti yake ya kila mwaka ikiituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba inakiuka uhuru wa kuabudu.

  • China yarudisha mapigo, yasema Marekani inasema uongo ili kuficha utendaji wake mbaya kuhusiana na corona

    China yarudisha mapigo, yasema Marekani inasema uongo ili kuficha utendaji wake mbaya kuhusiana na corona

    Apr 28, 2020 20:19

    China imeituhumu Marekani kwamba inamtafuta "mbuzi wa kafara" wa kumtwisha lamawa za kufeli kwa serikali ya Washington na utendaji wake mbaya katika kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.

  • Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo

    Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo

    Apr 28, 2020 02:50

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi imevuruga usalama na uthabiti katika eneo hili.

  • Marekani yakiri: Ni kweli tumeua raia katika shambulizi la anga Somalia

    Marekani yakiri: Ni kweli tumeua raia katika shambulizi la anga Somalia

    Apr 28, 2020 02:49

    Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika AFRICOM imekiri kuwa raia wawili wa Somalia waliuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika hujuma yake ya anga mapema mwaka jana.

  • Biden ambwaga Trump katika utafiti mpya wa maoni Marekani

    Biden ambwaga Trump katika utafiti mpya wa maoni Marekani

    Apr 28, 2020 02:45

    Joe Biden, mgombea wa chama cha Democrat katika uchaguzi wa rais nchini Marekani amembwaga Rais Donald Trump katika uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini humo.

  • Mpango wa Pompeo wa kuzuia kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Mpango wa Pompeo wa kuzuia kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Apr 28, 2020 02:43

    Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, imepangwa kuwa, ifikapo tarehe 18 Oktoba 2020, vikwazo vya silaha dhidi ya Iran viondolewe.

  • Kwa mara ya kwanza adhana yasomwa katika mji wa Minneapolis nchini Marekani

    Kwa mara ya kwanza adhana yasomwa katika mji wa Minneapolis nchini Marekani

    Apr 27, 2020 21:49

    Sambamba na kuingia mwezi mtukufu wa Ramadhani, viongozi wa kieneo wa mji wa Minneapolis katika jimbo la Minnesota nchini Marekani, wameruhusu kusomwa adhana katika misikiti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS