-
Filamu ya "al Nihaya" yatabiri kuangamia utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani
Apr 27, 2020 07:20Filamu iliyotengenezwa nchini Misri na kupewa jina la al Nihaya (The End) kwa maana ya mwisho, imetabiri kungamia kikamilifu utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika miaka ijayo.
-
Kuzifungia tovuti za kimataifa za vyombo vya habari vya Iran, njama za Marekani zilizoshindwa zamani
Apr 27, 2020 05:39Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za vikwazo vya kiwango cha juu kabisa, serikali ya Donald Trump huko Marekani si tu imeiwekea Iran vikwazo vikubwa ambavyo havijawahi kushuhudiwa, lakini pia imekuwa ikifanya njama kubwa za kuibana Tehran katika kila upande, ikiwa ni pamoja na upande wa vyombo vya habari, ili kuzuia sauti ya haki ya Jamhuri ya Kiislamu isiwafikie walimwengu.
-
Kituo cha Kiislamu chachomwa moto Marekani siku ya kwanza ya Ramadhani
Apr 26, 2020 03:25Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limezitaka mamlaka husika nchini humo kuchunguza kitendo cha kuteketezwa kwa moto Kituo cha Kiislamu katika jimbo la Missouri, katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
China yaishangaa Marekani kutaka kulipwa fidia ya Corona
Apr 26, 2020 03:21China imesema madai ya Marekani kwamba serikali ya Beijing ilishindwa kushughulikia ipasavyo mlipuko wa virusi vya Corona si sahihi na hayana misingi yote ya kisheria, na kwamba takwa la taifa hilo la kutaka kulipwa fidia na China kutokana na madhara ya virusi hivyo si chochote ghairi ya tamthilia ya kisiasa.
-
Rouhani: Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani
Apr 25, 2020 06:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani na kuongeza kuwa: "Iran katu haitakuwa muanzishaji wa taharuki na mapigano katika eneo."
-
Ongezeko la asilimia 14 la ukosefu wa ajira nchini Marekani
Apr 25, 2020 03:13Ofisi ya Bajeti ya Congress ya Marekani imetoa ripoti ikionyesha kuongezeka kwa asilimia 14 ukosefu wa kazi nchini humo.
-
Nancy Pelosi apinga kuahirishwa uchaguzi ujao wa rais nchini Marekani
Apr 25, 2020 00:10Nancy Pelosi, Spika wa Bunge la Wawakilishi nchini Marekani, amepinga suala la kuahirishwa uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huuu.
-
Al-Hashd al-Shaabi: Magaidi wa ISIS Iraq ni chombo cha Marekani
Apr 24, 2020 23:35Mkuu wa Idara ya Mawasiliano katika Harakati ya Al-Hashd Al-Shaabi katika mkoa wa Diyala mashariki mwa Iraq amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini hum ni chombo cha mashirika ya kijasusi ya Marekani.
-
Madaktari wa Marekani waonya: Pendekezo la Trump la kudunga vitakasaji mwilini kutibu COVID-19 ni hatari sana
Apr 24, 2020 10:39Madaktari nchini Marekani wamekosoa vikali njia zilizopendekezwa na rais wa nchi hiyo Donald Trump kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu wa COVID-19.
-
Zarif: Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kuhusu azimio la Baraza la Usalama la UN
Apr 24, 2020 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kwa kutumia tafsiri ghalati na isiyo na msingi kuhusu utekelezaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.