-
Jibu la suali la leo; nini sababu ya waziri wa zamani wa mambo ya nje wa US kukosoa sera ya Trump kuhusiana na Iran?
Jul 18, 2025 08:53Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken, amekosoa mwelekeo wa rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran; na licha ya kuibua madai mengine mapya amesema: Iran bado haijaamua kuunda silaha za nyuklia na imetekeleza ahadi zake katika JCPOA.
-
Rais wa Brazil asema, Trump ni rais wa Marekani, si ‘mtawala mkuu’ wa dunia
Jul 18, 2025 03:27Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amepinga tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokana nchini humo, na kuapa kuwa "atajibu mapigo" dhidi ya hatua hiyo na kutetea maslahi ya watu wake.
-
Eswatini kuwatimua wahamiaji 'sugu' kutoka US baada ya malalamiko
Jul 17, 2025 01:29Serikali ya Eswatini ilisema jana Jumatano kwamba, inawashikilia raia watano wa nchi ya tatu waliofukuzwa kutoka Marekani katika magereza yaliyotengwa, chini ya makubaliano na utawala wa Rais Donald Trump, lakini inapania kuwarejesha katika nchi zao.
-
Nini lengo la Umoja wa Ulaya katika kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran?
Jul 16, 2025 23:05Umoja wa Ulaya, ukifuata nyayo za Marekani, umeendeleza siasa za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika nyanja mbalimbali katika muhula wa pili wa uongozi wa Donald Trump kwa shabaha ya kuilazimisha Tehran isalimu amri mbele ya matakwa ya kupindukia mipaka ya nchi za Magharibi.
-
US yaweka rekodi mpya ya kuogofya, yatimua maelfu ya watoto
Jul 15, 2025 01:13Zaidi ya watoto 8,300 wahamiaji wasio na vibali, wenye chini ya umri wa miaka 11 walipewa maagizo ya kufukuzwa nchini Marekani mwezi Aprili, hiyo ikiwa ni idadi ya juu zaidi ya kila mwezi kuwahi kurekodiwa nchini humo.
-
Kupungua uungaji mkono wa wafuasi wa MAGA kwa vita vya Israel dhidi ya Iran; sababu, matokeo na athari zake kwa siasa za Marekani
Jul 14, 2025 05:41Katika miezi ya hivi karibuni, anga ya kisiasa ya Marekani imeshuhudia mabadiliko makubwa katika mtazamo wa wafuasi wa MAGA yenye maana ya Ifanye Tena Kuu Marekani, (Make America Great Again) kuhusiana na vita vya Israel dhidi ya Iran.
-
Karibu 50% ya Wajapan manusura wa bomu la nyuklia wasema "hawawezi kuisamehe" Marekani
Jul 14, 2025 03:02Uchunguzi uliofanywa na Shirika la Habari la Kyodo la Japan unaonyesha kuwa, karibu asilimia 70 ya manusura wa shambulio la bomu la atomiki lililofanywa na Marekani dhidi ya nchi hiyo wanaamini kuwa silaha za nyuklia zinaweza kutumika tena.
-
Araghchi: Netanyahu 'anaiamuru waziwazi' Marekani cha kufanya katika mazungumzo na Iran
Jul 14, 2025 00:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel ameshindwa kufikia lolote kati ya malengo ya vita vya karibuni vya utawala huo ghasibu dhidi ya Iran.
-
Kwa nini Trump amemwekea vikwazo Rais wa Cuba?
Jul 13, 2025 10:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza vikwazo vipya vya fedha dhidi ya Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel na maafisa wengine waandamizi wa nchi hiyo pamoja na marufuku ya usafiri kwa kisingizio cha kukandamiza maandamano ya amani yaliyofanyika mwaka 2021.
-
Jibu la suali la leo; kwa nini Albanese anasema hakuna tena mistari myekundu baada ya yeye kuwekewa vikwazo na Marekani?
Jul 13, 2025 04:28Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu, ametangaza kwamba uamuzi wa Marekani wa kumuwekea vikwazo unaonyesha kuwa hakuna tena mstari mwekundu wowote.