-
Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani
Jan 22, 2020 08:37Marekani ina mpango wa kuziongeza nchi nyingine saba zikiwemo Tanzania na Nigeria kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wanatarajiwa kuwekewa vikwazo na vizingiti vya kuingia nchini humo.
-
Sisitizo la Marekani la kumuunga mkono zaidi Juan Guaido; mwendelezo wa siasa zilizofeli za Washington
Jan 22, 2020 03:52Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, nchi yenye utajiri wa mafuta ya Venezuela imekuwa ikikabiliwa na mgogoro wa ndani wa kisiasa. Juan Guaido, kinara wa upinzani nchini Venezuela, Januari 23 mwaka jana alijitangaza kuwa Rais wa nchi hiyo.
-
Uchunguzi wa maoni wa CNN: Wamarekani wengi wanataka Trump atimuliwe
Jan 21, 2020 07:00Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa, Wamarekani wengi wanataka Rais Donald Trump wa nchi hiyo ahukumiwe na kuondolewa madarakani.
-
Shambulizi la maroketi lajiri karibu na ubalozi wa Marekani nchini Iraq
Jan 21, 2020 04:05Eneo lenye ulinzi mkali la Green Zone karibu na ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad limeshambuliwa kwa maroketi usiku wa kuamkia leo.
-
Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara kwa taifa la Iran, kumeikasirisha Marekani na kuivutia dunia
Jan 20, 2020 10:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, huku akifafanua misingi ya fikra za Kiislamu na malengo yake kukiwemo kusimama imara kwa Jamhuri ya Kiislamu, kuwa ni jambo lililoivutia dunia, amesema kuwa sababu ya kuwafanya Wamarekani wachukizwe na taifa la Iran ni mvuto unaotokana na fikra ya kusimama imara mfumo wa kujitegemea mkabala wa utawala wa kidhalimu.
-
Trump adai kuwa wakulima Marekani watampigia kura
Jan 20, 2020 04:27Rais wa Marekani amedai kuwa wakulimwa na wenye mashamba nchini humo watakuwa pamoja naye na kumpigia kura katika uchaguzi ujao.
-
Ujerumani yakosoa mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran
Jan 20, 2020 03:47Baada ya kushika madaraka ya kuongoza Marekani, alianza kutekeleza siasa za kuiondoa nchi hiyo katika mikataba na makubakliano muhimu ya kimataifa, suala ambalo limekabilwia na malalamiko na upinzani ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump nchini Marekani
Jan 19, 2020 04:32Makumi ya maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani ukiwemo mji mkuu Washington, kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump wa nchi hiyo dhidi ya wanawake.
-
Rais Rouhani: Marekani, chanzo cha shari zote Asia Magharibi
Jan 18, 2020 23:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ndiyo chanzo cha vitendo vyote vya shari, migogoro na matatizo katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Mexico yatupilia mbali tuhuma za Marekani dhidi ya Iran
Jan 18, 2020 23:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Mexico imetupilia mbali madai ya hivi karibuni ya gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kuhusiana na upenyaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Amerika ya Latini.