-
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali
Jul 16, 2019 03:37Marekani imekuwa ikitumia fimbo vya vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kijuba na kimabavu.
-
UN yakosoa vizingiti vya utawala wa Trump dhidi ya Zarif
Jul 16, 2019 03:19Umoja wa Mataifa umekosoa vikali hatua ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kumwekea vizingiti Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif.
-
Dunia yamlaani Trump kwa kuwatukana wabunge wanawake wa Marekani
Jul 16, 2019 02:54Viongozi na wanasiasa kote duniani wameendelea kumlaani Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuwadhalilisha na kuwatukana matusi ya kibaguzi wabunge wanawake wa chama cha Democrat katika Kongresi ya Marekani.
-
Wabunge wa Iraq: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kituo cha Mossad na Daesh
Jul 15, 2019 07:21Mbunge mwenye ushawishi mkubwa wa Iraq amefichua kwamba, ubalozi wa Marekani mjini Baghdad unajihusisha na harakati zinazotia wasiwasi na kwamba maajenti wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad, na kundi la kigaidi la Daesh wamekuwa wakionekana wakiingia na kutoka katika jengo la ubalozi huo.
-
Rouhani: Bodi ya IAEA imepuuza njama za Marekani dhidi ya Iran
Jul 14, 2019 03:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya kuendelea kutengwa Marekani katika uga wa kimataifa na kusema kuwa, mbali na nchi moja au mbili, nchi zote wanachama wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) katika kikao chao cha hivi karibuni zilipuuza njama za Marekani dhidi ya Iran.
-
Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje
Jul 14, 2019 02:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuyauza mafuta yake nje ya nchi bila kubabaishwa na chochote.
-
Ujasusi mpya wa serikali ya Marekani dhidi ya raia kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi
Jul 14, 2019 01:30Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani Serikali ya Federali ya nchi hiyo ilitunga sheria mpya za kudukua kumpyuta na mitandao ya intaneti ya raia ikisaidiwa na Kongresi kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Mwishoni mwa kipindi cha utawala wa Barack Obama zilifanyika jitihada za kupunguza udukuzi na operesheni hizo za ujasusi dhidi ya raia wa Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kujitoa Marekani katika JCPOA, sababu kuu ya mgogoro Mashariki ya Kati
Jul 13, 2019 22:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amefanya mazungumzo na Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya mjini Baghdad ambapo alisema kuwa hatua ya Marekani ya kujitoa kwa upande mmoja katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni sababu kuu ya mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Maelfu waandamana Marekani kupinga udhalilishaji wa Trump kwa wahajiri
Jul 13, 2019 07:59Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Marekani, kupinga sera hasi za utawala wa Rais Donald Trump dhidi ya wahajiri wanaozuiliwa katika vituo vya mpaka wa nchi hiyo, na pia dhidi ya mpango wa kuwakamata na kuwatimua nchi humo wahajiri ambao hawajasajiliwa.
-
Uturuki yaanza kupokea mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia
Jul 12, 2019 20:38Uturuki imepokea shehena ya kwanza ya mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia licha ya makelele na vitisho vya Marekani.