-
China yaitaka Marekani isitishe mashinikizo yake dhidi ya Iran
Jun 19, 2019 21:52China imeionya vikali Marekani kuhusu taathira hasi ya kutangaza kuwa itatuma wanajeshi 1,000 wa ziada katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati); huku ikiitaka Washington ikomeshe mashinikizo yake ya kuchupa mipaka dhidi ya Tehran.
-
Trump aahidi kuponya Ukimwi na kuwapeleka Wamarekani sayari ya 'Mars' akichaguliwa tena
Jun 19, 2019 03:18Rais Donald Trump wa Marekani ameahidi kuwa iwapo atashinda muhula wa pili katika uchaguzi wa rais mwaka ujao, basi utawala wake utatoa tiba ya maradhi hatari ya saratani na Ukimwi.
-
Russia: Marekani inapaswa kurejea haraka kwenye JCPOA
Jun 19, 2019 03:18Russia imesema Marekani inapaswa kurejea mara moja kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Marekani yaiondoa Saudia katika orodha yake ya nchi zinazowasajili watoto jeshini
Jun 19, 2019 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo ameliondoa jina la Saudi Arabia katika orodha ya Washington ya nchi zinazowasajili watoto jeshini.
-
Muqawama mbele ya Marekani; taifa la Iran litapata ushindi katika vita vya irada
Jun 19, 2019 02:58Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mapambano au muqawama ndio njia pekee ya kukabiliana na adui na kuongeza kuwa: "Mapambano ni njia pekee ya kupata ushindi mbele ya sera za Marekani, na ushindi wa taifa la Iran uko karibu."
-
Ilhan Omar asisitiza kurejea White House katika makubaliano ya JCPOA
Jun 18, 2019 03:28Mbunge Muislamu katika baraza la wawakilishi la Marekani amesema kuwa Washington inapasa kurudi kwenye meza ya mazungumzo na katika makubaliano ya nyuklia na Iran.
-
Kuhusishwa kundi la Daesh (ISIS), Saudia na Imarati na shambulizi la meli za mafuta
Jun 17, 2019 03:16Anthony Cordesman, mchambuzi wa nchini Marekani kuhusu masuala ya Iran amesema kuwa, kuna uwezekano mkubwa kwamba tukio la kushambuliwa meli mbili za mafuta za Japan katika Bahari ya Oman, lilifanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ushirikiano na ufadhili wa Saudia na Imarati.
-
Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA
Jun 17, 2019 00:04Hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na pia ukiukaji wa ahadi wa mara kwa mara wa Umoja wa Ulaya ambao umeshindwa kulinda mapatano hayo kupitia kuanzisha mfumo utakaosaidia kupunguza athari hasi za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, ni mambo yaliyoyaweka katika hali mbaya mapatano hayo.
-
Wamarekani waandamana katika miji 130 wakitaka Rais Donald Trump asailiwe
Jun 16, 2019 09:07Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji tofauti inayokaribia 130 wakitaka Rais Donald Trump wa nchi hiyo asailiwe.
-
Larijani: Mashambulizi yaliyojaa utata dhidi ya meli za mafuta Bahari ya Oman ni ukamilishaji wa vikwazo dhidi ya Iran
Jun 16, 2019 07:57Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Marekani hivi sasa imesakamwa na kipengee cha kisiasa cha kutoona haya na kukosa heshima ambacho kinaifanya isizingatie matokeo ya matamshi yake.