Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rais Rouhani: Iran bila shaka itapata ushindi katika makabiliano na Marekani

    Rais Rouhani: Iran bila shaka itapata ushindi katika makabiliano na Marekani

    May 26, 2019 01:50

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi ya Marekani dhidi ya Iran ya Kiislamu na kusema: "Taifa la Iran halijawahi na halitasalimu amri mbele ya mashinikizo."

  • Korea Kaskazini yaiwekea Marekani sharti ili kurejea kwenye mazungumzo

    Korea Kaskazini yaiwekea Marekani sharti ili kurejea kwenye mazungumzo

    May 25, 2019 21:58

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa sharti la Pyongyang la kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Marekani ni serikali ya Washington kubadilisha siasa zake za upande mmoja.

  • Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia  magharibi

    Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia magharibi

    May 25, 2019 21:55

    Rais Donald Trump wa Marekani tangu aingie madarakani amekuwa akitoa zingatio makhusi kwa eneo la Asia Magharibi na khususan eneo la Ghuba ya Uajemi; na hata safari yake ya kwanza nje ya nchi ilikuwa nchini Saudi Arabia, ili kuonyesha umuhimu wa eneo hili katika siasa za nje za Marekani na nafasi ya washirika wa Washington katika eneo. Bila shaka Trump mara kadhaa amekuwa akiutaja utawala wa Saudia kuwa ni ng'ombe wa kukamwa.

  • Mgogoro wa kibiashara washtadi kati ya Marekani na Japan licha ya Trump kuwepo mjini Tokyo

    Mgogoro wa kibiashara washtadi kati ya Marekani na Japan licha ya Trump kuwepo mjini Tokyo

    May 26, 2019 09:25

    Mgogoro wa kibiashara umeshtadi kati ya Marekani na Japan, licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwepo mjini Tokyo.

  • IRGC: Meli za Marekani Ghuba ya Uajemi ziko katika udhibiti kamili wa Iran

    IRGC: Meli za Marekani Ghuba ya Uajemi ziko katika udhibiti kamili wa Iran

    May 25, 2019 07:54

    Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH (IRGC) amesema kuwa, meli za Marekani zilizopo eneo la Ghuba ya Uajemi, hazina uwezo wa kufanya operesheni na zipo katika udhibiti kamili wa kikosi cha operesheni cha jeshi la SEPAH.

  • Ilhan Omar: Trump ni mwendawazimu na mtu aliyechanganyikiwa

    Ilhan Omar: Trump ni mwendawazimu na mtu aliyechanganyikiwa

    May 25, 2019 02:26

    Mbunge wa Kongresi ya Marekani, Ilhan Omar amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuwa ni mwendawazimu, mtu asiye wa kawaida, aliyechanganyikiwa na mwenye huzuni.

  • Takht-Ravanchi: Marekani ilikiuka wazi sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA

    Takht-Ravanchi: Marekani ilikiuka wazi sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA

    May 25, 2019 02:20

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kujiondoa Marekani katika mpatano ya nyuklia ya JCPOA ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa hasa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Zarif: Iran itashuhudia mwisho wa Trump, na wala si kinyume chake

    Zarif: Iran itashuhudia mwisho wa Trump, na wala si kinyume chake

    May 25, 2019 00:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itabakia hai kushuhudia hatima ya Rais Donald Trump wa Marekani na wala si kinyume chake.

  • Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    Matusi ya Trump dhidi ya taifa la Iran, mgongano katika misimamo ya Washington

    May 24, 2019 23:02

    Baada ya kuingia Ikulu ya White House mnamo mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani bila kupoteza wakati ilichukua msimamo wa kudhoofisha na ikiwezekana kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Uturuki: Lazima tutanunua ngao ya S 400 na tunapinga urefushaji muda wa Marekani

    Uturuki: Lazima tutanunua ngao ya S 400 na tunapinga urefushaji muda wa Marekani

    May 24, 2019 07:49

    Serikali ya Uturuki kupitia Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, imepinga suala la kurefushwa muda kwa lengo la kuifanya ilegeze msimamo wake wa kununua ngao ya makombora ya S 400 kutoka Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS