Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina

    Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina

    May 24, 2019 00:11

    Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia katika ikulu ya nchi hiyo White House, alichukua msimamo wa kuiunga mkono Israel bila ya masharti yoyote na wakati huo huo kudhihirisha uhasama wa waziwazi dhidi ya Wapalestina.

  • Rais Rouhani: Taifa la Iran litamfanya adui ajute

    Rais Rouhani: Taifa la Iran litamfanya adui ajute

    May 23, 2019 23:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kwa mara nyingine, taifa la Iran litamfanya adui ajute katika vita vya kiuchumi."

  • Seneta: Trump anatumia Iran kama kisingizio cha kuiuzia Saudia mabomu zaidi

    Seneta: Trump anatumia Iran kama kisingizio cha kuiuzia Saudia mabomu zaidi

    May 23, 2019 23:13

    Seneta mmoja wa Marekani ameonya kuwa, yumkini Rais Donald Trump akatumia kisingizio cha taharuki kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama kisingizo cha kuiuzia Saudi Arabia mabomu mapya, bila idhini ya Kongresi ya nchi hiyo.

  • Meja Jenerali Baqeri: Jeshi la Iran linafuatilia nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Meja Jenerali Baqeri: Jeshi la Iran linafuatilia nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    May 23, 2019 23:12

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jeshi la Iran linafuatilia kwa karibu nyendo na harakati za Marekani katika Ghuba ya Uajemi.

  • Utafiti: Aghalabu ya Wamarekani wanapinga kushambuliwa Iran

    Utafiti: Aghalabu ya Wamarekani wanapinga kushambuliwa Iran

    May 22, 2019 06:18

    Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa akthari ya wananchi wa Marekani hawaungi mkono wazo la kushambuliwa kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani.

  • Haftar atoa dola milioni 2 kuimarisha uhusiano wa 'Jeshi la Kitaifa la Libya' na Marekani

    Haftar atoa dola milioni 2 kuimarisha uhusiano wa 'Jeshi la Kitaifa la Libya' na Marekani

    May 22, 2019 06:07

    Kamanda wa vikosi vinavyojiita Jeshi la Kitaifa la Libya lenye uhusiano wa karibu na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amekodisha shirika moja la kulobi la Marekani kwa shabaha ya kumsaidia kuimarisha uhusiano wake na Marekani.

  • Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    May 22, 2019 05:18

    Mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA yalifikiwa mwezi Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1 lililojumuisha nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Russia, China pamoja na Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Mapatano hayo yalianza kutekelezwa mwezi Januari 2016.

  • Kusambaratika uwezo wa Marekani kwa mtazamo wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la SEPAH (IRGC)

    Kusambaratika uwezo wa Marekani kwa mtazamo wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la SEPAH (IRGC)

    May 21, 2019 03:52

    Ubeberu wa Marekani uko katika mkondo wa kusambaratika na hivi karibuni utafikia mwisho wake.

  • Meli za kivita za Marekani zafika mipaka ya China, hali ya taharuki yaendelea

    Meli za kivita za Marekani zafika mipaka ya China, hali ya taharuki yaendelea

    May 20, 2019 06:12

    Jeshi la Marekani limetuma meli zake za kivita ambazo zimefika karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China katika hatua ambayo imewakasirisha wakuu wa Beijing na hivyo kupelekea hali ya taharuki kuendelea baina ya nchi hizo mbili ambazo tayari ziko katika vita vya kibiashara.

  • Harakati ya al-Nujaba ya Iraq: Marekani inatafuta wenzo wa kuibua machafuko Asia Magharibi

    Harakati ya al-Nujaba ya Iraq: Marekani inatafuta wenzo wa kuibua machafuko Asia Magharibi

    May 20, 2019 05:23

    Mkuu wa Baraza la Utendaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujaba nchini Iraq, Nasr al-Shammari amesema kuwa, Marekani inafuatilia wenzo wa kuibua machafuko katika eneo eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ikiwemo Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS