-
Kamanda wa IRGC: Iran haitaki vita, lakini pia haiogopi vita
May 19, 2019 10:00Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hussein Salami amesema kuwa Iran haitaki vita lakini pia wakati huo huo haiogopi vita.
-
Iran yasema vita havitaibuka katika eneo
May 19, 2019 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema hakuna vita vitakavyoibuka Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) pamoja na kuwepo hali ya taharuki baina ya Iran na Marekani.
-
Sisitizo la Ujerumani la kutokuwa na natija siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi" za Donald Trump dhidi ya Iran
May 19, 2019 02:34Rais Donald Trump wa Marekani iwe ni katika kipindi cha kampeni zake za uchaguzi au baada ya kuingia katika ikulu ya White House Januari 2017, ametanguliza mbele mkondo wa siasa za kutaka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kulegeza msimamo Marekani kuhusiana na shambulio la kijeshi dhidi ya Iran
May 18, 2019 05:48Rais Donald Trump wa Marekani iwe ni katika kipindi cha kampeni zake za uchaguzi au baada ya kuingia katika ikulu ya White House Januari 2017, amechukua mkondo wa siasa za kutaka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
NATO: Taarifa za Marekani kuihusu Iran si kinaifu
May 18, 2019 03:17Afisa mmoja wa kitengo cha upelelezi wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi NATO amekosoa taarifa zinazotolewa na Marekani kuhusu maandalizi ya Iran kwa ajili ya kushambulia maslahi ya Marekani katika eneo na kuongeza kuwa, taarifa hizo kuihusu Tehran si za kukinaisha na hata ni za kudhalilisha.
-
Zarif ajibu matamshi mapya ya Trump; Timu B yasema hiki, Trump anasema kingine
May 17, 2019 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema migongano katika kauli za watawala wa Marekani inaonyesha wazi kuwa hawafahamu kile wanachopaswa kufanya.
-
Udharura wa ulimwengu uliostaarabika kusimama mbele ya Marekani
May 17, 2019 22:51Akiwa katika safari ya kuitembelea Japan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na viongozi wa nchi hiyo kuhusu mapatano ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, na vile vile siasa haribifu za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mchumba wa Khashoggi akosoa kimya cha Marekani kwa mauaji ya mwanahabari huyo wa Saudia
May 17, 2019 02:56Mchumba wa Jamal Khashoggi, mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud aliyeuawa ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul, Uturuki mwaka jana ameitaka Marekani kuanzisha uchunguzi wa mauaji ya kutisha ya mpenzi wake huyo ambaye alikuwa amepanga kufunga naye ndoa kabla ya kuuawa.
-
Gazeti la Saudia laitaka Marekani iishambulie Iran, lasema vikwazo havina athari
May 17, 2019 02:49Gazeti la Saudi Arabia lenye mfungamano na utawala wa Aal-Saud limeitaka Marekani ianzishe mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, likidai kuwa Tehran na Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen wamehusika na hujuma dhidi ya taasisi za mafuta za shirika la ARAMCO la Saudia.
-
Kilele cha uadui wa Marekani; Iran mshindi wa vita vya irada (azma/nia)
May 17, 2019 02:44Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH, amesisitiza kwamba maadui wamefikia mwisho wa njia na kwamba licha ya haiba yao ya kidhahiri lakini mifupa yao imeoza kwa ndani.